Mwanamke anapokufanyia hivi maana yake nini? Ushauri please

SIPIYU30

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,616
2,012
Habari zenu wana jukwaa,
Nina tatizo moja linanisibu. Nimetokea kufahamiana na dada mmoja hapa jijini Dar. Nilimfahamu nilipokwenda kupata mahitaji yangu kwenye stationary ambayo pia ina huduma ya internet. Kadiri siku zilivyoenda tukafahamiana majina. Huyu dada huwa ana tabia ya kupiga nyimbo za dini kwenye computer yake muda mwingi na mimi nazipenda sana. Sipendi kabisa bongo fleva na hip hop wala nyinginezo. Sasa nikiwa nimenunua simu yangu mpya ya screen touch, nikawa namwambia niwekee hizo nyimbo kwenye simu yangu na akawa anafanya vile. Hatimaye tukabadilishana namba.

Akanizoea kuniita Kaka SIPIYU30. Kwa sababu mimi sikai mbali na hapo, kila nikienda kwenye internet jioni akawa ananiomba sana nimsubiri afunge duka nimsindikize. Wakati mwingine ananishawishi niongeze muda, ili mradi tuu nimsubiri. Nikagundua kuwa anapenda sana kuwa karibu na mimi, nikawa namsindikiza. Ikafika hatua hata kama sijaenda hapo cku hiyo, basi ikifika muda wa kufunga atanipigia simu nimsindikize. Umri wake ni kama 21 or 20 years. Binti ni naturally beautiful yaani hahitaji mkorogo, kwa mwanaume rijali ukimtazama juu mpaka chini lazima mashetani yapande.

Kadiri siku zilivyokwenda nikajikuta nimerusha karata yangu kwake, na hivi ninavyoandika hapa, kwa kweli moyo wangu umemzimikia, lakini akaniambia hapana. Akanisihi sana kuwa urafiki wetu ubaki kuwa wa kaka na dada. Mimi namzidi umri kwani mimi nina 30. Ikafika mahali akanikubalia kwa shingo pande lakini akanipa masharti ya ajabu ajabu. Moja, anasema hawezi kunipa mechi akiwa anakaa kwa ndugu yake, labda nimpangishie nyumba ili ahame kwa ndugu yake niwe nafikia kwake. Hilo nalo nikatafakari, ni njia ya kukwepa tuu, siyo sababu.

Pili, kuna wakati akakubali na tukapanga ratiba kabisa, dakika za mwisho akachomoa. Nikimwuliza anasema anaogopa kwa sababu hajawahi kukutana na mwanamume. Ikabidi nibadili technique na kuanza na mambo mepesi mepesi katika mazungumzo, lakini bado hataki. Ikafika mahali nikamwambia kama hanipendi aniache, niendelee na maisha yangu, nikafuta namba zake kabisa, lakini bado ananitafuta. Nikimgombeza kwenye simu yeye anasmile tuu na haonyeshi hali ya kuniogopa. Ananitumia sms na kunisihi kuwa ananipenda sana, nikirudisha majeshi anagoma tena, anarudia kuniita kaka. kwa mtazamo wangu nahisi huyu demu anataka tuu hela zangu niingie kichwa kichwa alafu anitose.

Kuna siku nikavizia simu yake nikakuta namba fulani ikimtumia msg kibao, zingine zinasema "Nakutakia ucku mwema mke wangu". Lakini nikimwuliza anasema hana mchumba na hajawahi kukutana na mwanaume. Nimechukua ile namba nikaisevu kwa simu yangu, ila nimesita kufuatilia maisha yake wala huyo mtu anayechat naye. Sasa mimi najifanya mjinga sitaki kugombana naye ila nimeamua kumpuuza. Ila nakereka na sms zake na anavyonipigia. Nimemwambia achague moja, asuke ama anyoe, lakini wapi, hataki kunielewa. Naumia sana ila cjui nifanyeje. Naombeni mawazo yenu wadau, huyu mwanamke anataka nini kwangu?

But i promise cku atakayoingia anga zangu, kitaeleweka tuu.
 
Last edited by a moderator:
da! we unaonaje ukifuata sharti lake la kumtafutia chumba ili uwe unajilia kiulaini istoshe kama kipato kinaruhusu fanya hivyo.

Ushauri huu isyo mzuri. Ni heri umuoe uishi naye. Kumpangishia chumba utamuondoa kwa ndugu zake wakati wewe hutomsadia tena (unataka kumpapuchii tu)
 
Tafuta simu yenye kuweza kublock namba yake akipiga na ku-automatically delete msg zake akituma! Mimi nilishawahi kufanya hivyo! It works!
 
Last edited by a moderator:
Yeye yuko sawa, anaona hutaweza kununua ng'ombe mzima endapo atakuwa anakupa nyama nusu kilo ama kilo nzima utakapohitaji. hivyo anataka ukajitambulishe mfunge ndoa.
 
Malengo yako makuu ni Papuchi au unaitaji kuishi naye? Maana umri umeenda ndugu.Huenda binti kakushtukia hitaji lako ndo maana nayeye analeta mahitaji yake.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hahahaha namfowardia hii sms yako maana namfahamu vyema huyo demu, nami nakujua na huwa nakukuta kwenye hiyo internet cafe
Kumbe unataka kumharibu mdogo wangu........sikilizia mdundo na ujiandae kucheza musikiiiiiiiiii
 
Akishaingia anga zako utaendelea kumpenda au ndio itakuwa mwisho maana maelezo yako yana utata like unataka tu kutembea nae, akikukatalia unamkwepa. ushauri: Usitangulize sex kama kweli unampenda na una nia nae, be natural, mpende, mjali alafu utaona hata hautatumia nguvu nyiiiiiiiiiiiiiiiiingi kumpata. Ila kama ni mpita njia afadhali umuache usimtengenezee list ya wanaume.
 
Shda yako unataka kukimbilia kumgegeda tu badala ya Kumpeleka taratibu na inavyoonekana hata mpango wa kumuoa hauna,ushashitukiwa
 
... Naumia sana ila cjui nifanyeje. Naombeni mawazo yenu wadau, huyu mwanamke anataka nini kwangu?.
Hiyo demand ya kutaka kupangishiwa chumba/nyuma inasema mambo mengi kuhusu nia ya huyo dada. Nilitegemea aseme kama unampenda, ukajitambulishe kwao, umuoe ili ahamie kwako. Au na wewe unakaa kwa ndugu bado?
 
We hata haumpend ila wataka papuch tu,na kashakushtukia..
 
Hahahaha namfowardia hii sms yako maana namfahamu vyema huyo demu, nami nakujua na huwa nakukuta kwenye hiyo internet cafe
Kumbe unataka kumharibu mdogo wangu........sikilizia mdundo na ujiandae kucheza musikiiiiiiiiii

Akili yako kama avatar yako. Inawezekana na yeye anasoma post hii sasa sijui unafanya nini.
 
Unamtishia nyau?
 
Uko kwenye mizani unapimwa, lzm kuna mtu hapo lkn inawezekana jibaba fulani linahudumia
 
Akili yako kama avatar yako. Inawezekana na yeye anasoma post hii sasa sijui unafanya nini.
Viruzi mr CPU A.K. A Mpenda ngono na kuharibia watoto future zako, subiri musikiiiii babu wa ngonolistick for years of 30/20 hahahahaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom