Mwanamke anapogeuka 'baba' wa familia - Inakuwaje?

1. Baba atabaki kuwa baba
2. Mama atabaki kuwa mama na hili halimpi sababu ya kuanza kufikiria namba 1 hapo juu
3. Baba na mama watabaki kuwa washauri wa kila mmoja wao ila hili haliingilii mipaka wala taratibu za namba 1 hapo juu
4. Namba moja itaingilia yote hapo juu bila kusababisha kero wala dhuluma kwa namba 2 tajwa hapo juu
5. Ulinzi na usalama wa 2 tajwa hapo juu ni jukumu la 1 tajwa hapo juu na yote yatokanayo ikijumuisha na zao la 1 na 2 kwa majaaliwa ya Muumba


Niendelee mkuu!!!!!?????
Lete vitu mkuu...
 
Ha ha haaaa ngoja watani wa jadi waje mkuu tukimaliza kila kitu watatushambulia tubaki macho wazi na watatusainisha juu ya haki zao bila majadiliano yanayoongozwa na kanuni hizo
Aaaa wapi, Mkuu tuendelee kuwapa haki zao tu
 
wanawake watu wa ajabu sana kila siku mnaandamana na kudai haki sawa leo mmepewa mnaanza kulalamika. Mbona hamueleweki? Mnataka haki gani?
 
Huyo mwanamke ambae ni baba wa familia yako ana mbooo ? anakojoaa amesimama. ana ndevu. kwenye mapenzi anakua juu au chini. ama unaongea tu ?
 
Huyo mwanamke ambae ni baba wa familia yako ana mbooo ? anakojoaa amesimama. ana ndevu. kwenye mapenzi anakua juu au chini. ama unaongea tu ?

Iwe taaataa wacha ukali wa maneenoo!!!! Infwact hapa ni gt.
 
kudai haki haimaanishi
wanaume muanze kukwepa majukumu yenu ndani ya familia
Mwanaume anaejitambua hakwepi majukumu yake bali huyatimiza

Wakati mnapiga kelele haki sawa mlispecify haki gani mnataka ziwe sawa?? Wakati unaolewa majukumu yako ulitaka yawe yapi??
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom