Mwanamke anahitaji kuwa na chupi ngapi na zibadilishwe baada ya muda gani

Zile enzi za pichu za zaiboni sijui ni wangapi mnazikumbuka. Unavaa pichu mpaka elastic ya kiunoni unalegea unazitupa. Sasa hizi pichu za St Michael unavaa mpaka inachakaa pale makao makuu Dodoma lakini elastic ya kiunoni bado iko ngangari.

Sasa mfano nina pichu 12, nimetoa nne ni brown, nyeusi na dark blue hizi ni za zile siku za to the moon to pay monthly rent.

Hizi nane ndiyo kauka nikuvae lakini elastic zake zipo super. Nikivaa mpaka makao makuu pachakae mmh ndiyo mwanzo wa Aspirin kutafuta mchepuko huo.

Pichu tubadilishe baada ya muda gani?
Kuwa na Pichu 364 x 9 kila siku badilisha PiCHU 9
 
Jaman mie nauza chupi,wanawake wenzangu vaen chupi kila baada ya miez mitatu tupeni tu mje mtuungishe,sio mnavaa jichupi mpaka linakua la ugoro...! bei naanzia sh 8500 kwa Dozen chupi kaliiii.
 
Huwa kuna chupi za mtumba, kwanini watanzania hatuna kawaida ya kutoa chupi zetu zigawiwe kama mtumba
 
Zile enzi za pichu za zaiboni sijui ni wangapi mnazikumbuka. Unavaa pichu mpaka elastic ya kiunoni unalegea unazitupa. Sasa hizi pichu za St Michael unavaa mpaka inachakaa pale makao makuu Dodoma lakini elastic ya kiunoni bado iko ngangari.

Sasa mfano nina pichu 12, nimetoa nne ni brown, nyeusi na dark blue hizi ni za zile siku za to the moon to pay monthly rent.

Hizi nane ndiyo kauka nikuvae lakini elastic zake zipo super. Nikivaa mpaka makao makuu pachakae mmh ndiyo mwanzo wa Aspirin kutafuta mchepuko huo.

Pichu tubadilishe baada ya muda gani?

Kwani kawaida wanawake wanavaa chupi ngapi? At least mbili kwa siku?
 
Zile enzi za pichu za zaiboni sijui ni wangapi mnazikumbuka. Unavaa pichu mpaka elastic ya kiunoni unalegea unazitupa. Sasa hizi pichu za St Michael unavaa mpaka inachakaa pale makao makuu Dodoma lakini elastic ya kiunoni bado iko ngangari.

Sasa mfano nina pichu 12, nimetoa nne ni brown, nyeusi na dark blue hizi ni za zile siku za to the moon to pay monthly rent.

Hizi nane ndiyo kauka nikuvae lakini elastic zake zipo super. Nikivaa mpaka makao makuu pachakae mmh ndiyo mwanzo wa Aspirin kutafuta mchepuko huo.

Pichu tubadilishe baada ya muda gani?
Nadhani hii mada hainihusu...

Ngoja niendelee kunywa juice ya ukwaju uliyonitengenezea...
 
Hahaha mi naona wanawake kuvaa pichu ni mkijiingizea gharama za mausha tu. Wanawake mnavaa pichu ili kuzuia nini?! Nini kitadondoka au kukaa vibaya usipovaa?! Pichu kwa wanawake ni sawa na kuvaa bangili mkononi tu. Yani hata usipovaa haina tofauti. Hivyo mwanamke jipunguzie gharama, achana na uvaaji wa pichu.
Siku za kwenda mwezini inakuaje...?
Usiku ama mtu ukishinda nyumbani sawa,vinginevyo muhimu kujitunza jmn
 
Mi nadhani nnazo 20+,na kuna aina na aina ya chupi jmn....ikiendana na siku na matukio:p...ama ukimatchisha na bra...au kutegemea na nguo unayovaa
 
Back
Top Bottom