Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

Nimewahi kuwasaidia wadada kadhaa mitaji midogo na connection za kazi ila sijawahi kuona dalili zozote za kunilipa fadhila kwa uroda ama mm domo zege ? Eti mleta mada nafeli wapi ?
 
Mleta mada ame misslead hii mada.

Ametuaminisha kuwa alichomsaidia bidada huyo kuwa kiko valuable than kutunukiwa papuchi in return!

Wewe ulimpa material things yeye anakutunuku her body, her emotions, her privacy, her being to be called a woman. ...

Ki ukweli mdada akikutunuku sex ujue ameku value sana.

Mm nikiwaga na mavumba sionagi taabu kabisaa hata ya kumlipia demu kodo ya miezi sita.

Nyie hamjui tu

Sex ni ibada ...inawezesha sehemu zote za mwili ziwasiliane na kuitia kichochoe.

Hakika Mungu fundi Sana. Maombi yangu daily ni niwe na afya njema ili niweze ifanya ibada hii nikwa comfortable
 
Mwanamke anaamini kumpa mwanaume utu wake (papuchi) ndio zawadi kubwa kuliko chochote kile hapa duniani .
 
Mbona Mimi huwa siamini hivo, ukiona unapewa uchi mwenzako tu alikuwa na hamu na wewe. Pia wanaume wengi huwa hawasaidii wanawake bure wengi hutaka ngono. Mimi mtu anayenipa tafu ndo ngumu kufanya naye uchafu aisee.
We unaogea tu hapa kutufurahisha Baraza

Ila kiuhalisia Tena nyie wanawake mnaojidai wagumu huwa mnachotwa kiurahisi Sana kwa staili hio ya jamaa hapo.

Mwanamke Ni dhaifu Sana emotionally. Na hauwezi kataa uhalisia huo.
 
Mwanamke ambae anasaidiwa kisha akaamua atoe uchi100% hajiamini na pia ana tabia mbaya maana ataliwa sana.hongera kwako
Sio kwamba anatoa uchi.

Dada wa watu kadeveleop feelings kwa jamaa.

Na ndivyo inavyokuwa.
 
We unaogea tu hapa kutufurahisha Baraza


Ila kiuhalisia Tena nyie wanawake mnaojidai wagumu huwa mnachotwa kiurahisi Sana kwa staili hio ya jamaa hapo.

Mwanamke Ni dhaifu Sana emotionally. Na hauwezi kataa uhalisia huo.
Si kweli huo ni msimamo wangu tu binafsi. Msaada na favor ya ngono wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom