Mwanamke amkata mumewe sehemu za siri na kumsababishia kifo

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Imetokea huo kenya Mombasa, mwanamke huyo aitwae Pauline amemkata mumewe sehemu za siri baada ya mwanaume huyo kumpiga na yeye alikuwa akijilinda baada ya ugomvi kuzuka kuhusu mkopo wa benki mume huyo alichukua
Amedai pia mwanamke huyo alikuwa akimpiga sana mara kwa mara na kumsababishia mimba kutoka na mwanaume huyo amekufa akiwa anapokea hospitali

 
Inaonekana huyo KE hakumpenda mumewe ila dushe ndio maana akanyofoa kwa matumizi ya baadae.
 
Du!!! huyo mwanamke khatari,na huyo mkaka angekua hai ivi angefanyaje ile kazi yenye hela nyingi? just wondering!!
 
Inna Lillah

Allah ailaze roho ya marehemu alipopachagua alipokua hai

Mapenzi kupendana kuheshimiana kuthaminiana kuvumiliana mambo ya kupigana tuachie wacheza ndondi Na kama mapenzi yamekwisha ambianeni muachane kistaatabu

Mambo yote nayataka lakini s kupigana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom