Mwanamke ameniibia pesa na kuficha kwenye makalio yake

Huyo angekutana na mimi angesikia utamu maana ningemshindilia steki takoni na hela zingezama kwenye kinyeo
 
Noooop !, pesa nyingine ilikuwepo kwenye akaunt ya bank na simu pia ila kilichonishangaza ni mazingira ya pesa ilivyopotea, kama nisingefanikiwa kuzipata basi leo hii ningeamini kweli uchawi upo

Usirudie mkuu achana na mabonge nyanya hata vimbaumbau wako poa kwa bed au ile kitu unapenda kufanya mto
 
Habari wakuu,

Kweli dunia ina mambo, huwa napenda sana wadada wenye makalio makubwa kiukweli huwa nawafaidi sana tena sana ila wikiend ya juzi niliona maajabu maana sikutegemea kitu kama hicho labda kama imewahi kuwatokea wengine au ndiyo mtindo wa mjini siku hizi na mie mshamba.

Ilikuwa hivi kuna dada mmoja mtaani kwetu kiukweli amejaaliwa kuwa na makalio makubwa halafu mrefu wastani na kitu white na akipita sehemu kama wewe kweli mwanaume unasimamisha lazima umtizame na kumvutia picha ya mbali. Nilianza kumtongoza kitambo kidogo na jmosi nilimwalika twende wote Insaji bar ipo maeneo ya kwetu Boko.

Mtoto alikubali na bahati nzuri naye anatumia kileo, tukapiga bei zetu kadhaa huku namwomba mgegedo kiaina, kwa kuwa alikuwa ameanza kulewa ikawa rahisi kunikubalia, nikalipia gest na mambo mengine yakaendelea.

Baada ya mgegedo kuisha akaenda kuoga kisha nikafuata mimi kuoga nikiwa na taulo tu huku nimeacha trouser ina wallet na ndani kulikuwa na laki 2 kamili noti za elfu 10. Nilikuta yeye ameshamaliza kuvaa anasubiri nami nivae ili tusepe, nilipomaliza kuvaa nikachungulia wallet ili nimpe pesa ya pongezi kwa kazi aliyonifanyia. kuangalia nakuta empty noti zote zimechukuliwa.

Nilishtuka sana na nilipomuuliza naye akajifanya ameshtuka na akajibu bby hata mie nashangaa labda itakuwa uliangusha kule bar au pale kaunta wakati unalipia chumba, nikamwambia hapana nina uhakika mshiko ulikuwepo wakati naingia, nilijaribu kumpekua lakini nilikosa, tafuta kila sehemu ya chumba ila nilikosa, akajifanya anaanza kulia eti simwamini namwona mwizi.

Nikaenda kuwauliza wale wahudumu nikihisi kwamba labda wakati naoga alichukua kwenda kuficha kwa wahudumu wa gest ila walinijibu hakuna kitu kama hicho na wala hajatoka. Basi nikakata tamaa nikahisi labda majini yamechukua au chuma ulete imefanya kazi, dada wa watu mchozi unamtiririka tu akilia kwa kusingiziwa wizi, mie akili bado inanijia kuwa huyu kachukua mshiko.

Nikamvua nguo kwa kutumia nguvu na nikafanikiwa kumvua mpaka chupi kisha nikamtanua makalio yake ghafla nikaona mzigo umedondoka chini " Tiiiiiiiiii" kitu laki 2 amezikunja kisha kazibana kwenye makalio huku kavaa chupi na tight. Duh !, nilikuwa na hasira ila nilijiskia kucheka mwenyewe.Nikamuuliza kwanini umenifanyia hivi? Akiwa usoni mkavu amejikaza anajifanya hana aibu akajibu bby nilikuwa nakupima tu jamani, ehee yaani mwanaume usitaniwe.

Nikamwambia kuanzi aleo usinijue na wala usinisalimie tena wewe na sikupatiii hata shilingi kumi changudoa wewe. Nikasepa zangu mpaka leo nawaogopa sana hawa wenye makalio makubwa kumbe wanatumia mchina kuyakuza kwa ajili ya kuibia watu, jamani kuweni makini na hawa wanawake.

Ngoja siku atakapo kuiba wewe akufiche humo kwenye makalio ndipo akili itakapokukaa sawaa na kuacha kuzini ovyo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom