Mwanamke ameamua kuingia mtaani kusaka mwanaume wa kumuoa

wilcoxon

JF-Expert Member
Jun 25, 2017
1,094
2,831
Mwanamke mmoja nchini Kenya ameamua kuingia mtaani kusaka mume huku akiwa amebeba bango katikati ya jiji la Nairobi. Akiwa amevalia nguo nyeupe- kama ya harusi- mwanamke huyu mwenye umri wa miaka 28, Pris Nyambura, amebeba bango linalosema: “Nahitaji mume, nina mtoto wa kike wa miaka saba.”

FB_IMG_1503396629570.jpg
 
Gharama ya gauni la harusi na shela weka pembeni....naona kajipanga aise!

Dukueni namba hiyo jamani, mimi nimetuma text tayari...nasubiri majibu tu.
 
Back
Top Bottom