Mwanamke ambaye hakuamini amini huwa ana sifa za gani katika mahusiano?

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Kwa wale watalaamu wa saikolojia Hebu nisaidieni ukiona mwanamke wako haku amini amini huwa ana sifa za aina Gani maana

1. Akiona simu yako tuu anachukua anaanza kuipekua ajue kuna nini akiona kitu akielewi anakuuliza maswali ya kukutega

2. Saa nyingine hata katika mazungumzo ukimwambia huna hela hakuamini

3. Saa nyingine hata maongezi ya kawaida hakuamini amini kila unachoongea anaona ni porojo au unamdanganya

4. Kuna wakati anakupigia simu unamweleza nipo home nimepumzika basi utasikia ingia whatspp tuongee kwa video call

5. Umelala zako anakupigia simu usiku wa manane anaamsha anataka kujua umelala na mwanamke akiona hakuamini anakupigia video call akuone na mambo mengine mengi

Hebu tusaidianeni, sifa za hawa watu wa hii huwa wana sifa gani?
 
ninachojua mimi kila kitu kina sababu hivyo jitathimini kuanzia kutongozana kwenu hadi hapo mlipofika kuna mangapi ulimwahidi na hujatekeleza au mangapi ulimlaghai na haujafanya.... tambua mwanamke ni kama mtoto wa miaka mitano hadi kumi, mtoto ukizidi kumdanganaya sana lazima akuone wewe story zako ni za uongo tu hamna lolote ndivyo ilivyo kwa mwanamke pia
 
hawa viumbe wanayakwao 2
mm siwaelewagi utfanya hiv ankuj na hili hyo antk 2 kukushik kichwa usiwe huru kbsa bro awe chonjo
pia mwanaume hutimiza jambo kwa mwanamke kwa wakat wake sio kwa wakati ambao mwanamke antak yeye
 
naona umeingiza kanuni ya kiungu hapo uko sawa
 
Back
Top Bottom