Mwanamke ambaye hajawahi kufika/kufikishwa kileleni

Windhoek

JF-Expert Member
Jan 25, 2016
445
767
Habari za muda huu kaka, dada na wadogo zangu?

Najiokeza kwenu leo nikiwa serious na hitaji langu likiwa serious pia. Natafuta/nahitaji mwanamke/msichana ambaye hajawahi fika au kufikishwa kileleni katika maisha yake ya mapenzi (ila asiwe na maaizo kimaumbile). Umri wake uwe kuanzia miaka 18-35. kama akiwa na mtoto mwisho awe mmoja.

Mimi ni mwanaume rijali na nahitaji kuwa na mwanamke wa aina hii ili nimuoneshe upande wa pili wa mapenzi, ikiwa ni pamoja na kumheshimu. Kama kuna mwanamke wa aina hii tafadhali sana naomba tuwasiliane PM tuyajenge. Hata kama ulikuwa ushaona mapenzi ni mateso tu hamna raha na unataka kuchukua maamuzi ya ajabu naomba tuwasiliane. Kuwa na amani.

Vigezo vya ziada:
1. Awe mzuri wa kawaida tu
2. Awe tayari kupima HIV
3. Awe tayari kuwa kwenye mahusiano ya malengo kama tutakubaliana hilo.
4. Mi napatikana zaidi kwenye mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Kagera hivyo ni vizuri akiwa maeneo hayo au jirani.

Ndugu zangu niko serious na naomba ichukuliwe serious. Kwa atakayekuwa interesed na anaetaka kujua sifa zangu mwenyewe za ziada, muonekano, etc akaribie PM tutamamaliza kila kitu. Asanteni waungwana na siku iwe njema kwenu.
 
  • Thanks
Reactions: THT
Mimi natoa multiple ogasm kwa wanawake....achana na huyo mtoa maada anakufikisha mara moja tu
 
Mkuu Ngoja nisaidie wale wanawake wenye Aibu....Hivi kama Mwanamke hajawahi kufika Kileleni lakini yupo na Mtu wake ila anataka aje kwako umfikishe ili baada ya hapo aweze kumfundisha Mtu wake jinsi ya kufikishwa hukooo....anaruhusiwa kukufuata?
Windhoek
 
Mkuu Ngoja nisaidie wale wanawake wenye Aibu....Hivi kama Mwanamke hajawahi kufika Kileleni lakini yupo na Mtu wake ila anataka aje kwako umfikishe ili baada ya hapo aweze kumfundisha Mtu wake jinsi ya kufikishwa hukooo....anaruhusiwa kukufuata?
Windhoek
Anaruhucwa mkuu. Afya na kuhexhimiana ndokitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom