Mwanamke ambaye alishafunga ndoa kanisani anaweza kuolewa tena kanisani?

  • Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka; lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini. Mathayo 5:31-32
Kwa muktatha huu akiasheratika tuu aachwe siyo?
Pili kuachwa na kutalikiwa ni vitu2 tofauti. Yaani kuachwa ni muda mfupi tu then waweza rudisha majeshi.
But talaka ni forever.
Ebu fafanua bana. ujue naamini sana kauli za Mungu
Na hawa wachungaji wa kileo some times wana tu mis lead mkuu. Hawajasoma hekima
Za Mungu ki viile
 
huyo ndoa yake inaweza kuwa siyo hai tena kwa mambo mawili tu la kwanza akifiwa na mume anafunga tena kanisani la pili akimfumania mmewake anazini nje ya ndoa inavunjiaka anaolewa kama hayo hayapo unaoa mke wa mtu
 
Ndoa zote husajiliwa serikalini chini ya RITA na vyeti vyote vya ndoa hutolewa na Serikali
Duuuh! Hapa ndo umeua kabisaaa. Sasa tukifungia huko serikalini si watamsajiri RITA?
Ambako alisajiliwa mwanzo au.
Naogopa akifa nisije lia mwenywe chumbani ka mwanga kwa watu kugombea mahiti, nani amzike marehem! Unajua wachaga tena ndo zao. Labda nife mimi kwanza
 
huyo ndoa yake inaweza kuwa siyo hai tena kwa mambo mawili tu la kwanza akifiwa na mume anafunga tena kanisani la pili akimfumania mmewake anazini nje ya ndoa inavunjiaka anaolewa kama hayo hayapo unaoa mke wa mtu
Mumewe yuko hai.
Hajawahi tufumania ila tumejirusha sana mpaka ikatunogea
Tukaona sasa tuombe ushauri kwa ndg zetu wapendwa.
Au tujilengeshe atufumanie! Ili aharalishiwe kuachwa mkuu baba .Unaionaje hii
 
Kwa muktatha huu akiasheratika tuu aachwe siyo?
Pili kuachwa na kutalikiwa ni vitu2 tofauti. Yaani kuachwa ni muda mfupi tu then waweza rudisha majeshi.
But talaka ni forever.
Ebu fafanua bana. ujue naamini sana kauli za Mungu
Na hawa wachungaji wa kileo some times wana tu mis lead mkuu. Hawajasoma hekima
Za Mungu ki viile
kwa ufupi ni kwamba ukishaoa hakuna kuachana wala taraka hii inafafanuliwa vizuri kwenye Mathayo 19:3-9 na 1koritho7:10-11 haya ya watumishi wa makanisa madogo ni kwamba wanatafuta sadaka.
 
kwa ufupi ni kwamba ukishaoa hakuna kuachana wala taraka hii inafafanuliwa vizuri kwenye Mathayo 19:3-9 na 1koritho7:10-11 haya ya watumishi wa makanisa madogo ni kwamba wanatafuta sadaka.
Hili la sadaka nakubaliana na wewe manake ni kwamba
Tulikubaliwa kirahisi tu kufunga ndoa za mafungu ilimradi tuwe waumini wao wa kudumu ila wasabato walikataa kata kataaa! Japo tulikuwa tayari kwa ubatizo wao. Hata kwa ushawishi wa pesa, pastor aligoma. Hapo ndiyo tukapigiwa na maombi kbsaaa. But rafiki yetu akatuunganisha kwa walokole. huko nako nikapata kigugumizi.
daaaaah!
 
sikushauri kaka hiyo ndoa bado inaishi na ukioa jipange kwa changamoto zake kubwa kwakuwa jamaa hajamwacha mkewe hivyo nafsi yake haiwezi kuachana naye kamwe pamoja mwili unafikiri umeachana naye.
mke wa mtu ni sumu maziwa hayasaidii acha kabisa pamoja kuwa watalaka na wake zawatu wanatongozeka kirahisi lakini achana nao kingine huwezi jua mwanaume mwenzako kwanini kamwacha sasa we ingia ucheze mechi usiyoijua utajuta!
 
Sina cha kuchangia boss
Nitaomba kitu kimoja tu kutoka kwao.

Unisaidie kuongea na wenzako humu ndani naona km hawaelewielewi vile maombi yangu mwanana. au wote wameolewa?
Sijaona ""ke" yeyote kuni pm mpaka sasa
Au wako beyond ma expectations! However, Still i strongly b've that wamo wenye umri huu!
Niloutaja. Maisha yeyote yale ni kusaidiana na mtu ni watu. Mtu mmoja ni uvundo. Si unaona wana Jf walivo nifungua macho? Nimepata point za punch hii ndoa.kwa Kutumia vifungu vya Biblia. Heee! Yaaani watajua!
 
Mbona unachoniambia hakifanani na mada yako au mimi ndio sijaelewa
 
Kwa sisi wakatoliki wakitangaza ndoa then wanamalizia "anayejua kizuizi cha ndoa hii, awajulishe mapadre mapema"
Mada kama yako ikiwa raised ndo hakuna ndoa tena hapo
Wakuu leteni uzoefu

Mtu alikuwa ni mke wa mtu kwa ndoa ya kanisani kkkt, anataka kuolewa tena, na mahari itolewe imekaaje hii? walokole wamekubali, kutufungisha japo siyo waumini wao, sasa si utapeli wa kichaga huu kweli? au nioe tu, nimempata humuhumu member wa long time JF.
 
Kwa walokole inawezekana lakini lazima kwanza awe na talaka ya serikali kama hana basi basi jiandae kesi ya kutosha
Kawaida mbona ila ungekuwa unaenda funga tena kkkt kamwe akuna kitu hiko rejea ndoa ya emmanuel mbasha na mkewe wemeachana kwa talaka ya mahakama mwanamke ameolewa tena safi na kazaa nw
Aaaaah! sema ukweli mkuu bana, naweza pata kesi?
 
Nahisi wewe ni mwanamke,umekuja kwa gear ya kujifanya mwanaume ili kupoteza tension!

Anyway,maamuzi ya maisha yako kwa kiasi kikubwa yapo mikononi mwako,ukisubiri sana wengine wakuamulie mambo sensitive kama haya,utajikuta dakika 90 zimeisha na mechi umepoteza!

Wasalimie sana makao makuu ya serikali,hahahaaa!
Mimi dume matata bana siyo muanamuke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom