Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,263
- 3,627
- Thread starter
- #61
Kwa muktatha huu akiasheratika tuu aachwe siyo?
- Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka; lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini. Mathayo 5:31-32
Pili kuachwa na kutalikiwa ni vitu2 tofauti. Yaani kuachwa ni muda mfupi tu then waweza rudisha majeshi.
But talaka ni forever.
Ebu fafanua bana. ujue naamini sana kauli za Mungu
Na hawa wachungaji wa kileo some times wana tu mis lead mkuu. Hawajasoma hekima
Za Mungu ki viile