Mwanamke aliyekeketwa ni kama wanawake wengine kutokufika kwa kilele ni kosa la mwanaume

asante ndugu kwa kunisaidia...laiti kama angejua hili tatizo linavyowasumbua dada zetu hawa asingediliki kuandika hicho alichokiandika...basi asamehewe tu

Ukitaka kujua undani wa hilo tatizo uwe umetokea mikoa ambayo mambo hayo ya ukeketaji hufanyika huyo atakuwa hajui...! Mkuu
Na hajiulizi ni kwanini ukeketaji unapigwa vita sana na pia amesahau mtu aye uza mirungi hapa kwetu tz anavyo sakwa ni sawa na mtu anayekeketa wote watajikuta jera moja ila kesi tofauti..!!!!
 
hafahamu huyu...nahisi anahisi ni tatizo dogo..hafahamu linavyowakosesha raha na kuwaaturi kisaikolojia dada zetu....unajua mkuu kwasababu wengine hawajawahi kuona wala kukutana na watu wenye matatizo haya na wakawasimulia namna wanavyopata shida ndo maana yuko hivyo..ila ingekuwa bahati mbaya dada zake ni sehemu ya tatizo sidhani kama angeshadadia na kuniambia vile
 
Hii kitu ni ndefu nimesoma nimeishia kati nitaendelea baadae
 
sawa mkuu pia hayo ni maoni yako...siwezi kupingana na wewe...asante kwa mchango wako...sina haja ya PM ya mtu..lengo langu ni kuwaelimisha tu ndugu zangu...samahani kama umekwazika na kuona mimi labda natafuta humu

Mkuu mik***ndu kama hao hata sio wa kuwaomba samahani unajisumbua bure..!!
Kuna wengine hutumia mik***ndu yao kufikiri kama kitu mtu hajakielewa si anaacha tu hajisikii raha kusoma akaondoka bila kuacha kashifa..
Kwa kuwa yeye ni mtu wa kukomaa na p.m kusumbua wadada basi anadhani na wengine wanatafuta njia ya kufanya kama anavyo fanya yeye!!
 
unajua na mimi ni mcharuko kama yeye..lakini niliamua kuwa msataarabu kwa jinsi huu uzi ninavyouheshimu na hili tatizo ninavyolipa uzito...basi penye wengi pana mengi tumsamehe bure
 
Huo ushauri ungewapa wanawake walio keketwa wawe wanawaambia wapenzi wao ukweli. Walio wengi huficha hali zao na mwanaume anakuwa hajui lolote anaishia kugegeda na kuondoka
 
ulichokisema ni kweli...wengi wao huona aibu kuwaambia wenza wao kuwa wamekeketwa.....kama wakiwa wawazi basi watawafanya wenza wao wafikirie njia mbadala ya kuwafikisha kileleni na hatimaye kuwafanya wafurahie tendo la ngono
 
unajua na mimi ni mcharuko kama yeye..lakini niliamua kuwa msataarabu kwa jinsi huu uzi ninavyouheshimu na hili tatizo ninavyolipa uzito...basi penye wengi pana mengi tumsamehe bure

Kuna watu wanaboa hata ukimwonesha usitaarabu bado inakuwa haikuongezei kitu..!!
Kwa uvivu wake wa kusoma na kutoelewa basi anaamua kukashifu binafsi amenikera sanaaaaaaaaaaa
Ila basi kila kibinadamu anamapungufu yake ila wakome kuyaonesha kwa kila mtu wawe na mipaka.
Nimekusikia mkuu tumsamehe!!!!
 
sawa sawa...pole kwa kuboreka...kweli tumsahe tu
 
samahani sijui kama kuna aina nyingine...hii niliyoizungumzia ni ile wametoa kinembe lakini manakuwa wameacha kovu...lile kovu ndo mhusika inabidi alitumie kupishika shika na litamuongezea mihemko huyo mwenza wake.....kama kuna aina nyingine ni vema ukamwaga hapa ili tupate ujuzi zaidi na kubadilisha mawazo ili tuwasaidie hawa wahusika

kwa mfano watu wa afrika magharib wenyewe wanaondoa kabisa LABIA MINORA badala ya clitoris! je watu kama hao utawaridhishaje?
 
Huo ushauri ungewapa wanawake walio keketwa wawe wanawaambia wapenzi wao ukweli. Walio wengi huficha hali zao na mwanaume anakuwa hajui lolote anaishia kugegeda na kuondoka

Best... Kwa jinsi ukeketaji unavyofanyika yaani kale kamlima kilimanjaro kanafyekwa kote linabakia kovu.. Si umemwelewa mleta thread alichosema ? Alihakikisha anaona kilichofanyika kwa yule bibie.... Alikuta kovu gumu..na jinsi tulivyoumbwa kina mama ni rahisi sana kwa mwanaume kugundua tofauti kwa mwanamke kama ipo (mfano huo ugumu wa kovu ) wakati wa ku 'do'. Sasa sidhani kama kuna issue ya kuficha hapa...labda kama sio wapenzi wa kudumu!! Au mke na mumewe. Au jamaa amepita tu kuondoa kiu..hatajali kama kuna kovu au la. Kwa kifupi ni ngumu kuficha hili kovu mkuu..
 
nashukuru sana kw kumfafanuli...natamani kukupa like ila natumia simu kwa sasa.....unajua kueleza mambo yako ya ndani siyo jambo jema..ila nimerisk usiri wangu ili wenzangu waelewe kisha wawasaidie hawa dada zetu....
 
Nimekukubali. Na kweli umedhamiria kuwa mfano kwa wanaume wenzio kuwasaidia ili wasiwanyanyapae wake/wapenzi wao waliokumbwa na dhahama hii. Kiukweli ukiwasikia wengi wa kina dada/ mama waliokeketwa ni aidha walipelekwa kwa nguvu! Walitishiwa! Walidanganywa kuwa wanaenda kumsalimia bibi nk. Wanamamivu sana hasa wanaposikiliza wenzao tunavyosimulia tunavyosikia rahaa kwenye hii game. Acha kabisa. Huku Arusha kuna kabila ili uolewe lazima mlima unyofolewe ndo unakamilika jamani....
 
Back
Top Bottom