Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke aliyekeketwa na 'sex satisfaction'

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KOKUTONA, Sep 1, 2012.

 1. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,121
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 160
  Kuna ukweli wowote kuwa wanawake waliokeketwa hawajawahi kuwa satisfied kimapenzi hata wakutane na mwanaume fundi kiasi gani?

  Nimeuliza haya baada ya kukutana na kisa mtaani. Kuna binti mmoja very beautiful huku kwenye jamii yetu. But ni easy going vibaya mno, na ameshanusurika sana kwenye matukio.

  Nilikuwa saloon, mara akapita na kulikuwa na vijana wanapolish nais wateja. Mdada mmoja akamtania mmoja wa wale vijana walikuwa wanapolish nails 'umemuona mchumbaako ulietaka oa?'

  Yule kijana akaanza kuongea akitoa data za idadi ya wanaume waliotembea na yule dada including him, mwisho aka conclude nakusema "Yule binti ni mzuri sana na hakuna mwanaume rijali ataemuona asimtamani au kumpenda, tatizo lake ni moja hata ukimpangia wanaume 100 na wote waende nae hatafika bado ataendelea kutafuta wengine. Umajua kwa nini? Bado anatafuta utamu maana hajawahi kuupata maishani mwake, na anafikiri kuna siku atampata mwanamume wa kunfanya apate huo utamu kitu ambacho hakipo"

  Tukacheka sana bila kujua kijana anamaanisha nini. Akaendelea "Yule dada amekeketwa, na wanawake waliokeketwa feels nothing kwenye tendo la ndoa, hawapati utamu kabisaaa, huvyo mchumbaangu bado anafukuzia utamu"

  Alizua mjadala mkubwa sana pale saloon nami nimeuamishia huku JF mnasemaje? Kuna uhalisia/ukwei juu ya hili?
   
 2. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kwahiyo utamu mwanamke anaupata kwenye clitoris peke yake? hakuna g spot, kuta za ndani ya k, wala nyuma ya k? wala pale mlangoni? nafikiri hata kama amekeketwa anaona raha tu kama akimpata mtu anayempenda na kumkuna vizuri...ila akipata paparapapara chomekachomoa ondoka, hatakuja aone utamu huo hata siku moja...hili si jambo la kuuliza...however, mimi siwezi kuoa wala kuwa na mwanamke aliyekeketwa, kwasababu huwa napenda kushikashika harage hata kama sifanyi naye tendo tumepumzika tu, kushikashika nako kuna raha yake mkipozi...you feel you are having a woman beside you....badae mnamalizia kabisa. nikishika na kuona kovu au hamna harage, hapo hamu inaisha mbona......however, mtaniwia radhi wanawake mliokeketwa mtakaosoma msg hii, nawapa pole...
   
 3. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,121
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 160
  Nimekuelewa Ubungoubungo na hoja yako.

  Unataka kusema utamu upo pale pale whether huna harage siyo.

  Suppose mwanamke aliyekeketwa anakutana na mwanaume wa jinsi yako kuwa hamu inakisha soon unapogundua amekeketwa, what does the situation implies kwa binti? Maana yake utamu haupo tena, akiattempt mwanaume mwingine the same applied. Huoni hii inaeza kuwa sababu?

  Kwamba wanakuwa na matumaini ya kupata wanaume watakao wapenda jinsi walivyo but the result is different?
   
 4. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  ok, ukweli ni kwamba, mwanamke aliyekeketwa, anakuwa na kasoro kubwa kwasababu pamoja na kwamba atapata utamu,....utamu mkubwa kuliko wote katika tendo huchangiwa sana na clitoris....hivyo akiondolewa icho anakuwa amepunguza asilimia fulani ya kuenjoy...cha msingi ni kwamba sio kweli kwamba hata pata kabisa utamu...atapata lakini hautafikia wa yule ambaye ana harage....
   
 5. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,121
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 160
  Kwa hali hii, inabidi makabila yanayofanya hivi yapate elimu kuhusu haya maswala na kuacha kabisa na tamaduni hii.

  Maana si tu kuzalilisha wakina mama bai pia inafanya wakose vungi na kujiweka ktk hatar ya maambukizi
   
 6. kimweri Jr

  kimweri Jr Senior Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwani anatomically clitoris ni sawa na kitu gani kwa mwanaume? Na je, hao mnaosema kuna g spot ! Huwa inapatikana wapi? Binafsi ninampango wa kumpotezea mwl m1 kwa7bu hiyo. Ukweli ni kwamba clitoris ndio kila ki2, kama mwanaume huna kichwa, hilo bao linatoka wapi?? Ctakuja kuoa mke wa hivyo kamwe.
   
 7. h

  hacena JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 620
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ipo namna ya kuwapatia utamu, ukifanikiwa kuwafundisha tigo kamwe hawaachi, ndio maana wanaume wengi wameshindwa elewa waliokeketwa wakaonja utamu wa tigo, usipomgusa noma
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 39,826
  Likes Received: 6,585
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa ina kuwa ni vigumu sana kwa mwanamke aliye keketwa kuridhika!

  Kwa sababu harage lina changia sana katika furaha ya tendo kwa mwanamke ni wazi kabisa linapo ondolewa hushindwa kufurahia tendo na kuridhika!
   
 9. awp

  awp JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,717
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jf kuna walimu sijapata ona, mimi sina hilo harage na situmii tigo na raha napata. au walibakiza kipisi wakati wananikata? teh teh
   
 10. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #10
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 7,775
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  ruttashobolwa, KOKUTONA hakuna mwanamke asiyeridhika, maana ya mshindo (orgasm) ni nini? aondolewe asiondolewe wewe piga kunyanzi au Kanchabali au kater*** atafika mwisho, sisi huku ugogoni ndio wameenguliwa vyote lakini ukimpiga kat**** anafika na kesho anakuja ndio tuseme hajatosheka? au kanogewa
  KOKUTONA huyo bint akiolewa atatulia tu ni watu wanamuonea wivu.
  Mbona kuna mastaa wa kike wa hapa tanzania wanabadili hawanasifiwa kwa hiyo huyo Dada anatafuta umaarufu na mtakapomuona na Hummer mtanyamaza
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,142
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 145
  napita tu
   
 12. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,442
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  mimi ninacho
   
 13. c

  christmas JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 2,483
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  mmh haya ila hayo makabila hayako fair
   
 14. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #14
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 3,229
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Wanapata uatamu na orgasm inapatikana inategemea na ufanyaji wako,mbona wapo wanawake kibao ambao hawajakeketwa na still hawapati orgasm kutokana na mfanyaji kutojua jinsi ya kumfikisha?
   
 15. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #15
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,121
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 160
  Kwa maswali yako kimweri Jr tunarudi kule kule kwa mkaka aliyekuwa anapolish nails saloon kwamba mdada aliye keketwa ana disadvantege kubwa kwamba she can never satisfied a man and she can nevew be satisfied.

  Sasa je tunawasaidiajie sbb wako ktkt janga tayari?

  Na je kwel haijawah kutokea mwanaume akampata mwanamke aliye keketwa akafurahia tendo na kumpenda ki kweli kweli ktk ulimwengu huu wa mapenzi?
   
 16. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #16
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,809
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  hii mada imenipa kitu kichwani kwani kuna mdada niliwahi kuwa naye, ckujua mpaka nasoma hii post,kile kiharage kilikuwa kama cha mtoto, alomost hakipo, alafu nilikuwa naogelea thou nina...ya uhakika,then alikuwa haoneshi kama na feeliong kivile thou ali wet kama kawa lakini ...alikuwa tu kama ananickilizia nimalize....nadhani naye kakeketwa, sasa nimejua

  mdada aliye keketwa ingia hapa utupe uzoefu
   
 17. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #17
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,121
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 160
  Heee Heee usiniambie. So the only solution kwa hawa ni kwenda toilet? Ina maana ukidate msichana aliye keketwa na aliyeonja huko afu we ukaendelea kikawaida umempoteza? Na je wana ujasiri wa kusema wanachokitaka i meam hiyo tigo whe they a dated?
   
 18. malema 1989

  malema 1989 JF-Expert Member

  #18
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 804
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Unacho nini nivea?
   
 19. malema 1989

  malema 1989 JF-Expert Member

  #19
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 804
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ukiona anagusagusa hapo na kidole tu, ujue anataka ulonge kwa kutumia laini ya tigo!!!
   
 20. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #20
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,121
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 160
  Wanasaidiwaje sasa? What is plan B for them?
   
Loading...