nikubhilikile uje
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 264
- 240
Wandungu pole na majukumu ya maisha,
Wadau ninaswali napenda nipokee majibu kutoka kwenu haswa kwa walio na uzoefu wa hili swala, mwanamke mjamzito anamuda wake wa kufanya mapenzi na kunamuda ukifika haswa pale anapoelekea miezi migumu ya kukaribia kujifungua anasitisha sex na mume wake kwa baadhi ya waume siyo wote lakini.
Na pia anapojifungua anakaa muda fulani wa kuanza kukutana na mume wake sasa "Je? huwa anatakiwa kukaa kipindi gani ndio aweze kuanza kukutana na mumewe", kwani kipindi hicho 95% ya wanaume wanachepuka sana tena wengi wao huwa wanaanza kutoka na wadada wa kazi, na wengine wanadiriki kutembea na mashemeji zao.
Nimefuatilia historia nyingi kwa kipindi mwanamke akiwa mjamzito na kipindi akiwa kajifungua matatizo hayo ujitokeza na mpaka leo hii limetokea sehemu ninakoishi kwa jirani sasa nimejiuliza sana, ni kipindi gani huyu mwanamke anatakiwa baadà ya kujifungua ni muda gani upite ndio wakutane kimwili na mume wake?
NOTE: Naombeni majibu sitaki kwa walioolewa na kuowa au wenye uzoefu na haya mambo