Mwanamke aliyejifungua anakaa muda gani ndio afanye mapenzi na mumewe?

nikubhilikile uje

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
264
240
Wandungu pole na majukumu ya maisha,

Wadau ninaswali napenda nipokee majibu kutoka kwenu haswa kwa walio na uzoefu wa hili swala, mwanamke mjamzito anamuda wake wa kufanya mapenzi na kunamuda ukifika haswa pale anapoelekea miezi migumu ya kukaribia kujifungua anasitisha sex na mume wake kwa baadhi ya waume siyo wote lakini.

Na pia anapojifungua anakaa muda fulani wa kuanza kukutana na mume wake sasa "Je? huwa anatakiwa kukaa kipindi gani ndio aweze kuanza kukutana na mumewe", kwani kipindi hicho 95% ya wanaume wanachepuka sana tena wengi wao huwa wanaanza kutoka na wadada wa kazi, na wengine wanadiriki kutembea na mashemeji zao.

Nimefuatilia historia nyingi kwa kipindi mwanamke akiwa mjamzito na kipindi akiwa kajifungua matatizo hayo ujitokeza na mpaka leo hii limetokea sehemu ninakoishi kwa jirani sasa nimejiuliza sana, ni kipindi gani huyu mwanamke anatakiwa baadà ya kujifungua ni muda gani upite ndio wakutane kimwili na mume wake?

NOTE: Naombeni majibu sitaki kwa walioolewa na kuowa au wenye uzoefu na haya mambo
 
One month unaweza kula mzigo tuuh..! Kabla unaweza piga mpaka muda kujifungua km hana complications!
 
Shahawa zinaweza kuwa na hadhari katika maziwa ya mtoto kipindi mwanamke hanapo kutana na mume wake mapema sana hakisha jifungua
 
Kukutana wakati wa ujauzito hakunaga mipaka. ....hata kama tarehe ni kesho. ...unaruhusiwa Leo.
(Inategemea na mwanamke anavyojisikia)

Kwa wale wenye matatizo na ushauri wa kitabibu umewakataza ndio unakuta wanapewa mipaka.

Baada ya kujifungua inategemea na mwanamke mwenyewe. ...
Wanashauri ukae wiki 6 bila Kukutana na mwanamme....ili usijepata ujauzito mwingine wakati bado mzunguko wako wa hedhi haujarudi sawasawa.

Wanaume wasiojitambua na wabinafsi ndio wasioweza kuvumilia....
Ila wapo wengi tu wanaheshimu wanawake zao na watoto wa nakuvumiliana katika kipindi hicho cha mpito.

(Kuleta kiumbe duniani sio kazi ndogo. ....heshima Kwa wanawake wote)
 
Akiwa na mimba unapiga zigo mpaka siku ya mwisho kama hana shida akijifungua unaesabu cku 40 unamzibua mtoto skio alafu unaendelea mranda ado ado
 
Kukutana wakati wa ujauzito hakunaga mipaka. ....hata kama tarehe ni kesho. ...unaruhusiwa Leo.
(Inategemea na mwanamke anavyojisikia)

Kwa wale wenye matatizo na ushauri wa kitabibu umewakataza ndio unakuta wanapewa mipaka.

Baada ya kujifungua inategemea na mwanamke mwenyewe. ...
Wanashauri ukae wiki 6 bila Kukutana na mwanamme....ili usijepata ujauzito mwingine wakati bado mzunguko wako wa hedhi haujarudi sawasawa.

Wanaume wasiojitambua na wabinafsi ndio wasioweza kuvumilia....
Ila wapo wengi tu wanaheshimu wanawake zao na watoto wa nakuvumiliana katika kipindi hicho cha mpito.

(Kuleta kiumbe duniani sio kazi ndogo. ....heshima Kwa wanawake wote)
uko vizuri mkuu
 
ID yako inaonesha we ni mjita, kwa utamaduni wa Kabila lako Mwanamke anasex hadi siku atakapohisi uchungu hakuna kusubiri cjui imebaki miez mingapi hapana yaani kunkolana bila shida yoneyone , lakini Baada ya kujifungua inategemea na Hisia za mwanamme ajisikiaje wengine hupata kinyaa na husubiri hata miezi 2 or 3 inategemea2
 
Mleta mada soma hapa kama nia yako ni kutaka kuelewa...
Kukutana wakati wa ujauzito hakunaga mipaka. ....hata kama tarehe ni kesho. ...unaruhusiwa Leo.
(Inategemea na mwanamke anavyojisikia)

Kwa wale wenye matatizo na ushauri wa kitabibu umewakataza ndio unakuta wanapewa mipaka.

Baada ya kujifungua inategemea na mwanamke mwenyewe. ...
Wanashauri ukae wiki 6 bila Kukutana na mwanamme....ili usijepata ujauzito mwingine wakati bado mzunguko wako wa hedhi haujarudi sawasawa.

Wanaume wasiojitambua na wabinafsi ndio wasioweza kuvumilia....
Ila wapo wengi tu wanaheshimu wanawake zao na watoto wa nakuvumiliana katika kipindi hicho cha mpito.

(Kuleta kiumbe duniani sio kazi ndogo. ....heshima Kwa wanawake wote)
 
Njunjana mpaka siku ya mwisho, ni mwendo wa kutanua njia tu

Dokta anashauri ukijifungua damu ikikata tu, shughuli inaanza kama kawaida
 
Kukutana wakati wa ujauzito hakunaga mipaka. ....hata kama tarehe ni kesho. ...unaruhusiwa Leo.
(Inategemea na mwanamke anavyojisikia)

Kwa wale wenye matatizo na ushauri wa kitabibu umewakataza ndio unakuta wanapewa mipaka.

Baada ya kujifungua inategemea na mwanamke mwenyewe. ...
Wanashauri ukae wiki 6 bila Kukutana na mwanamme....ili usijepata ujauzito mwingine wakati bado mzunguko wako wa hedhi haujarudi sawasawa.

Wanaume wasiojitambua na wabinafsi ndio wasioweza kuvumilia....
Ila wapo wengi tu wanaheshimu wanawake zao na watoto wa nakuvumiliana katika kipindi hicho cha mpito.

(Kuleta kiumbe duniani sio kazi ndogo. ....heshima Kwa wanawake wote)
Jibu nzuri sana
 
Akiwa mjamzito haina kikomo,mpaka siku atakayoenda labour,akishajifungua ,damudamu na Yale majimaji kwa kitaalamu yanaitwa lochia vikikauka tu anakuwa huru kukutana na mume wake ,so ndani ya wiki mbili mnaruhusiwa kukutana.
Weee wiki mbili baada ya kujifungua? Labda kama hujachanika. Kama ulichanika na kushonwa ni kuanzia mwezi mpk kidonda kipone!
 
Back
Top Bottom