Mwanamke akiwa hivi lazima nikimbie tu

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,185
Binafsi mwanamke nikimkuta akiwa na muonekanao huu lazima nikimbie hata kama namuhitaji kwa kiasi gani

Kope bandia
Nywele kashonea
Kucha bandia
Suluali yaani jeans imetoboka magotini
Sura imejaa make up

Hapo hata sijushughulishi nae

Je nyie wenzangu huwa muonekano upi unakufanya umkimbie mwanamke ikiwa unahitaji kumtongoza?
 
Binafsi mwanamke nikimkuta akiwa na muonekanao huu lazima nikimbie hata kama namuhitaji kwa kiasi gani

Kope bandia
Nywele kashonea
Kucha bandia
Suali imetoboka magotini
Sura imejaa make up

Hapo hata sijushughulishi nae

Je nyie wenzangu huwa muonekano upi unakufanya umkimbie mwanamke ikiwa unahitaji kumtongoza?
Hao unaowakimbia wewe mi ndo nawataka..sitaki manzi mlokole mlokole

#WanawakeWanatakaMashine....za ATM na sio kitu kingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi mwanamke nikimkuta akiwa na muonekanao huu lazima nikimbie hata kama namuhitaji kwa kiasi gani

Kope bandia
Nywele kashonea
Kucha bandia
Suali imetoboka magotini
Sura imejaa make up

Hapo hata sijushughulishi nae

Je nyie wenzangu huwa muonekano upi unakufanya umkimbie mwanamke ikiwa unahitaji kumtongoza?
Mkuu sasa huyo mwanamke au mdoli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom