Mwanamke akinipenda mimi ni kosa kubwa sana

Wakuu kwema?

Mimi nikianzisha mahusiano na mwanamke ni ngumu sana kuniacha yaani mpaka nawaoneaga huruma kabisa wakati mwingine maana kuna wengine wanakuambia mimi sibabaishwi na mwanaume alafu mwisho wa siku anakua mnyonge sana kama Sio yeye vile.
Mwaka unaisha ukiwa huna hata majukumu unawaza ngono tu

Una miaka 22?
 
Wakuu kwema?

Mimi nikianzisha mahusiano na mwanamke ni ngumu sana kuniacha yaani mpaka nawaoneaga huruma kabisa wakati mwingine maana kuna wengine wanakuambia mimi sibabaishwi na mwanaume alafu mwisho wa siku anakua myonge sana kama Sio yeye vile.

Ni sawa tu na wewe unavojisifu hapa kupendwa,,, basi jua mwisho nawewe utakuwa mnyonge sana...

Utakuja siku kujiona kuwa wewe ni kijana wa hovyo sana....
 
hiz znaitwa sfa za kijinga, lkn kaa ukijua dawa yako iko jikon inachemka sku s nyng utavuna ulichopanda.........
Hakuna kitu kama hicho mama
Sijui karma ..yaani watu wawili wapo kwenye uhusiano kwa maana wanafanya zinaa mmoja anaumizwa au anaachwa maksudi eti upate laana
 
Hakuna kitu kama hicho mama
Sijui karma ..yaani watu wawili wapo kwenye uhusiano kwa maana wanafanya zinaa mmoja anaumizwa au anaachwa maksudi eti upate laana
inategemea na uhusiano wenu ulilenga nn, kama huyu mwamba anaonesha anaona sfa vle anakuwa na mtoto wa mtu kisha anamuacha kimakusud akitegemea kuliliwa kuombwa kurudiana.

saa hii znaa imehalalishwa kwa kias kikubwa, hakuna namna.......tuangalie na mioyo ya watu tunayoiumiza bla sababu z msngi, lzma utavuna unachopanda
 
Back
Top Bottom