Mwanamke akichelewa kupata mp ni dalili ya mimba au ni tatizo gani?

Marahaba

Member
Nov 23, 2010
33
1
Jamani naomba mnisaidie hili,mdada mmoja amepitiliza miezi mitatu bila kupata MP ,amekuwa na hofu sana mpaka akaamua kuujua ukweli,
Kwanza ametumia Litmus Paper kupima kama ni mjamzito na kwa indicator za Litmus Paper inamuonyesha mistari miwili ikimaanisha ni positive,anao ujauzito lakini
Pili akienda hospitali anaambiwa ni stress zake tu zinawezachelewesha MP na kwa jinsi vipimo vya hospitali vinasema hana ujauzito hii imekaaje wadau wa JF wenye uzoefu wa jambo hili?
 
kwa litmus paper anaona ujauzito.....hosptali haonekani ana ujauzito........

huyu atakuwa na mimba......kama mp yake ilikuwa nomo na hkuwa na tatizo lolte mfano kuugua, kuhama eneo moja kwenda lingine na mawazo basi ni mjamzito.... hosptali wanaweza kuona hana ujauzito lakini kwa miezi mitatu ni mingi mn...kama alienda hosp za uchochoni basi namshauri aende hosptali kubwa wamchunguze zaid......
 
Hapo Kwa kweli inabidi aende hospitali kubwa maana hali hii haijawahi kumtokea,ahsante sana kwa ushauri huo itabidi kumfikishia
 
akachunguzwe zaidi,labda anakosea kutumia kipimo....si kila wakati ukikosa MP una mimba yawezekana ni hormonal imbalances,so itabidi kupewa dawa za ku-balance na kurudisha routine ya kawaida ya MP au ana uvimbe etc etc.....namshauri aende hospitali kubwa uchekiwa,pengine aliyoenda walikosea....
 
jamani naomba mnisaidie hili,mdada mmoja amepitiliza miezi mitatu bila kupata mp ,amekuwa na hofu sana mpaka akaamua kuujua ukweli,
kwanza ametumia litmus paper kupima kama ni mjamzito na kwa indicator za litmus paper inamuonyesha mistari miwili ikimaanisha ni positive,anao ujauzito lakini
pili akienda hospitali anaambiwa ni stress zake tu zinawezachelewesha mp na kwa jinsi vipimo vya hospitali vinasema hana ujauzito hii imekaaje wadau wa jf wenye uzoefu wa jambo hili?


siyo mimba pekee inayosababisha hilo. Kuna uvimbe na mfumo wa hormone vinaweza kusababisha,,, so akienda hospitali apime ultrasound itamsaidie kujua tatizo.

 
Kutopata mp kwa wakati haimaanishi tayari ni mjamwepesi. Kuhama mazingira kunachangia kuharibu utaratibu.
Halafu hii peleka kule jf dokta.
 
Back
Top Bottom