Mwanamke ajikuta sehemu zake za siri hazipo baada ya kumuibia mwanaume aliyelala naye Bukoba

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
TETESI NI KUWA MWANAUME ALIYEIBIWA NI MKAZI WA KIGOMA
Mama huyu akiwa hajielewi kwa kile kilichompata,baada ya kula uroda na mwanaume katika nyumba ya wageni ya super star hamugembe alitoweka na pesa za mwanaume huyo ambae inasemekana ni mkazi wa kigoma,baada ya muda mama huyu alijikuta baada ya umati kuwa mkubwa police walifika maeneo ya tukio na kumchukua huyo mama,tunafanya jitihada za kumpata msemaji wa jeshi la police,na ikibidi taarifa rasmi ya daktarihana sehemu zake za siri


panda mama tukifika huko tutajua zipo au zimetoweka...
majanga jamani ......
mama alipoteza sehemu za siri akipelekwa polisi
 
umati mkubwa uliokuja kumshuhudia mama aliepoteza sehemu zake za siri,baada ya kumuibia mwanaume

duniani kuna majanga na hili janga

umati ulikuja kumuona mama alipoteza sehemu zake za siri
baada ya umati kuwa mkubwa police walifika maeneo ya tukio na kumchukua huyo mama,tunafanya jitihada za kumpata msemaji wa jeshi la police,na ikibidi taarifa rasmi ya daktari
 
Jamaa kishaondoka nini? Kwa nini asimrudishie pesa zake tu, mambo yaishe? Au kwa vile jamaa ni mtaalaamu pesa yake ameshairudisha kiaina aina na ametokomea mbali. Ndo wakome make wamezoea vya kunyonga atasepaje wakati jamaa alimlipa chake kabisa?
 
sipati picha izo sehemu zikiwa hazipo panakuwaje maana kwa mwanaume panakuwa flat
izi dawa zinazofanikisha matukio kama haya ndo za kusambaza inchi nzima ili watu wakome udokozi

panakuwa kama mkono ulivyo,apana kitu kitu kabisa
 
Safi sana,nafuu angesuburi agaiwekidogo akatatue shida zake za nyumbani taratibu,kuliko kukwapua zote akidhani ndio atamaliza shida zake fasta...angalia sasa maswaibu yaliyompata....Na hii ni dediketedi kwa wanawake wote waliyo natabia za kuondoka na mali za wanaume. Mwenzio akupe raha bado umsachi hadi simu na nguo...duuuh wanawake ni Delila tuu hawana Fadhila hata chembee!!!!!!!!!!!!
 
Wazee wa maguest dawa hiyo maana watoto wa usiku wanawaliza kila siku. Kweli Tanzania ina mambo!! Mara mtalimbo ung'ang'anie huko kwa utamu mara iondoke, mara panya aondoke na mtarimbo. Ili mradi kikomeshana tu. Ila uzinzi utakaa uishe duniani? Nafikiri ndiyo laana inayoongoza.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom