Mwanamke ajikuta sehemu zake za siri hazipo baada ya kumuibia mwanaume aliyelala naye Bukoba

Sa huyo jamaa ka anauwezo wa kuchomoa nyeti, kwanini asichomoe ya mdada yeyote pale bungeni au kwe bongo movies akawa anajilia bure kuliko kwenda kzitafuta?!
 
Sipati picha izo sehemu zikiwa hazipo panakuwaje maana kwa mwanaume panakuwa flat
Izi dawa zinazofanikisha matukio kama haya ndo za kusambaza inchi nzima ili watu wakome udokozi

Hii dawa itafaa sana kwa waizi wa EPA, Ritz1, Home shopping center na wengineo wengi.
 
sipati picha ...inakuwa flat haipo kabisa?
Usiambiwe, lol nasikia hata kitundu cha kukojolea jamaa kapita nacho! Kasheshe dada wa watu akibanwa na mkojo, mbona atatamani kutobolewa kikojoleo kingine kwa "mdenge'!
 
kwa kumtazama huyu mama/dada, inaonesha anazo tu sehemu zake na ziko kamili! Huu ni uzushi tuu!
 
Hii ni habari ya uongo!
Binafsi nimeshiriki kutafuta ukweli wa hili jambo kama mwandishi wa habari na kuthibitsha kuwa ni uongo kabisa.
huyo mama ana matatizo ya akili.Polisi walimchukau kituoni kupunguza utitiri wa watu waliokuwa wakimiminika kutazama hicho kioja.
 
Huyu jamaa namfahamu akikusamehe sana anakurudishia ila utapata za tembo
 
Hii ni habari ya uongo!
Binafsi nimeshiriki kutafuta ukweli wa hili jambo kama mwandishi wa habari na kuthibitsha kuwa ni uongo kabisa.
huyo mama ana matatizo ya akili.Polisi walimchukau kituoni kupunguza utitiri wa watu waliokuwa wakimiminika kutazama hicho kioja.

wewe unabishana na daktari aliozibitisha kuwa sehemu zake za siri zimepotea,au unataka nikuwekee na picha kuonyesha alivyozibwa!!! kimaadili siwez kuiweka.

jipange
 
kwa kumtazama huyu mama/dada, inaonesha anazo tu sehemu zake na ziko kamili! Huu ni uzushi tuu!

kwa hio wewe uwa natambua watu kama wana sehemu zao kw kuwaangalia? Hii habari nimezibitisha ni ukweli .ata hivo si lazima watu wote waamin,ata yesu au mtume walivyokuja si watu wote waliwaamin
 
wewe unabishana na daktari aliozibitisha kuwa sehemu zake za siri zimepotea,au unataka nikuwekee na picha kuonyesha alivyozibwa!!! kimaadili siwez kuiweka.

jipange

wewe wala hujui namna ya kudanganya,katika jf hakuna cha kusema maadili hayaruhusu,wewe weka picha,au watumie moderators wataingiza hapa,mimi natumia ID yangu binafsi na nianchosema si tetesi kama zako,acha kutoposha watu.
kwa nini mnataka mambo ya udaku udaku tu badala ya kuingiza mambo ya maana?

nasisitiza kuwa hii ni habari ya kutunga,uongo nk

haya ni mambo ya kawaida kwa maeneo ya uswahili.

mimi naishi bk,najua kila kitu
 
wewe unabishana na daktari aliozibitisha kuwa sehemu zake za siri zimepotea,au unataka nikuwekee na picha kuonyesha alivyozibwa!!! kimaadili siwez kuiweka.

jipange

Hata kama daktari kathibitisha. Wewe na daktari mlikuwa mnafahamu nyeti zake zilivyokuwa awali kwenye database yenu? Je kama ndio alivyozaliwa? Jipange.
 
kwa hio wewe uwa natambua watu kama wana sehemu zao kw kuwaangalia? Hii habari nimezibitisha ni ukweli .ata hivo si lazima watu wote waamin,ata yesu au mtume walivyokuja si watu wote waliwaamin

Umethibitishaje habari hii? Au wewe ni daktari ndiye ulimchunguza na kama ulimchunguza unaweza kutoa sababu za kitaalam kuushawishi umma nini sababu ya mtu huyo kupotelewa na sehemu zake za siri?

Ukiniambia wewe ni mmoja wa mitume uliowataja labda nitakuamini...
 
Back
Top Bottom