Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,445
Umejitahidi kupiga picha za kuonyesha umbo lako kwa nyuma. Wanaume wamechuna.
Umejitahidi kupiga picha huku umebusti kifua, wanaume wamechuna.
Umejitahidi kupiga picha huku nguo yako ya ndani ikionekana, wanaume wamechuna.
Umejitahidi kuvipiga picha vikuku vyako miguuni wanaume wadate, lakini wamechuna.
Unaowapata ni wale wanaotaka kupiga na kusepa, sisi tunawaita Kick And Run! Wanakuchapa halafu wanakimbia.
Umehangaika vya kutosha, halafu wanaokuja kuolewa, wale mbaumbau, hawana hata makalio, nyuma kama wamepigwa pasi, mpaka unajiuliza hivi huyu akikaa si mifupa ya makalioni inauma, ila maboi ndiyo haohao wanawavarisha pete huku tukisema wale wenye makalio, wenye kupiga picha huku wakituonyeshea makalio watakuwa mahawara tu, tunapiga halafu tunasepa kibishi.
Ushapigwa na wangapi baada ya kuanza kupiga picha hizo? Nani aliyekwambia anataka akuoe, tena ile siriazi? Kuna mtu alikwishaleta barua kwenu kutaka kukuoa? Kama hakuna, kwa nini unapoteza muda kutuonyeshea makalio na wakati tunayaona mengi tu? Kwa nini unatuwekea kifua kilichobustiwa na wakati tunakiona kwa wengi?
Kesho unalalamika wanaume wanatutenda! Wanaume wanafanana! Ni walewale tu! Hivi kuna mwanaume mjinga kiasi cha kumuoa mwanamke mwenye kupiga picha wowowo ili lionekane? Hakuna mwanaume mjinga wa hivyo! Ukifanya hivyo, sisi wanaume hatuna hiyana bhana! Tunakuvutia waya, tunaongea na wewe, tunaonana, tunapiga halafu tunasepa, kesho tumamuoa Husna, yule mdada ambaye kila siku akiweka picha kajifunika hijabu, kavaa kiheshima. Kesho tunamuona Magreth, yule msichana ambaye nguo zake za vitenge, ndefu kama kanzu, halafu wewe tunakuacha huku tukisema "Yule nishapiga....yule nishapiga...yule hana kitu, wowowo la bure tu hawezi kulitumia....yule kule mikwara mingi, kile kifua kimebustiwa, kitu ndala, kinasimama akiinama tu...." si unajua wanaume tunavyojua kuwadharau wanawake wa hivyo!
Usipoteze muda dada yangu, hebu jiulize umekwishawapata wangapi wenye msimamo wa kukuoa? Kama hakuna, basi jua kwamba kumbe kupiga picha na mgongoni kuonyesha kalio haisaidii bhana zaidi ya kuwapata watu wa kukick and run...tafuta njia nyingine.
Vinginevyo! KARIBUNI MAGETONI.
Nawapenda sana dada zangu ndio maana nimewashauri! Usije kupewa mimba halafu baba akasepa ukabaki peke yako unalea mwanao anayekosa malezi ya baba.
Credit: Nyemo Chilongani