Mwanamfalme wa Uingereza Prince Harry na mkewe Meghan Markle kujiondoa katika familia ya Kifalme (Royal Family)

Nilipita jumanne iliyopita Buckingham palace umati ulikuwa hapo naona na wewe ulikuwapo kindoto
Ila umejua huyu Meghan alikanywa na officials wa RF lakini akasema nimekufa nimeoza kwa Harry
Lakini ni kivuruge haswa
Na Queen ni strict sana na sheria lazima zifuatwe

Sent from my iPhone using Tapatalk
Hao watu Buckingham palace wanawakilisha my presence
Nawaombea wasichoke
 
Yanii nahisi Queen anaona Meghan anataka kumpanda kichwani na mjukuu kafa kaoza kwa mmarekani,
Na akisema awachie nahisi it won't take five years lazima Jambo litawakuta tu ingawa siombei hivyo

Tatizo huyu Meghan kumpeleka nje ya nchi na bibi anaogopa usalama wao huko kwani watahitaji ulinzi mkubwa kwa kodi zetu
Na watu wamesaruka wanasema kama anaenda aache kila kitu hé can’t have a cake and eat it
Bibi hapendi mambo ya ndani yatoke nje hatujui nyuma ya pazia kaongea nini tukiacha hii speech yake
Ila tuwaombee tu maana ninavyoona mimi it won’t work na dogo atarudi kwao tu
Maisha ya Royal family yana vikwazo na sheria nyingi mno na huna uhuru kabisa anaoutaka harry

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Bibi kizee kawaambia waache huo upumbavu.
Plus waingereza wamesema kama wamejitoa waondolewe na Ulinzi kabisa. Hapo ndo utajua hakuna kitu maana ulinzi ni ule ule. So bado yuko getoni ufalmeni. Na akizingua zaidi watanfanya walichomfanya Princess diana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo huyu Meghan kumpeleka nje ya nchi na bibi anaogopa usalama wao huko kwani watahitaji ulinzi mkubwa kwa kodi zetu
Na watu wamesaruka wanasema kama anaenda aache kila kitu hé can’t have a cake and eat it
Bibi hapendi mambo ya ndani yatoke nje hatujui nyuma ya pazia kaongea nini tukiacha hii speech yake
Ila tuwaombee tu maana ninavyoona mimi it won’t work na dogo atarudi kwao tu
Maisha ya Royal family yana vikwazo na sheria nyingi mno na huna uhuru kabisa anaoutaka harry

Sent from my iPhone using Tapatalk
Labda Meghan akili bado hazijamkaa kuhusu familia aliyoolewa nayo
 
Sijakuelewa mkuu??

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani kabla hajaolewa aliendewa na watu kutoka familia ya Harry na kumweleza kuhusu familia anayoingia ataiweza? Kuna hili na hili na hili lakini akakubali masharti yote
Ila kuuhalisia ni mgumu kama alivyofikiria
Masharti ni mengi mno
Sijui kama ndio swali lako hilo

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
I meant yeye anaitwa hivyo hivyo Archie sio Kama kina princess Charlotte?!
Na kwanini Queen hakumpa title is there any reason?!

Hapo ni wazazi ndio wanataka awe na maisha ya tofauti yaani No Royal engagements wala Royal duties atakapokua
Naona wanaanza kumjenga kisaikolojia asijihusishe na Ufalme kabisa
Kwani title anayo kama Harry angetaka

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Yaani kabla hajaolewa aliendewa na watu kutoka familia ya Harry na kumweleza kuhusu familia anayoingia ataiweza? Kuna hili na hili na hili lakini akakubali masharti yote
Ila kuuhalisia ni mgumu kama alivyofikiria
Masharti ni mengi mno
Sijui kama ndio swali lako hilo

Sent from my iPhone using Tapatalk
Alikurupuka sana Meghan huko aliko anajuta aseewh!yaani namuona avowavuruga watamchoka sasa hv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujua kwanini watoto wa prince William wale watatu wapo karibu na line of succession to throne kuliko price harry??? Maana William na harry ni watoto wa Charles. Nilitegeme akitoka malkia eliza aje charles then William alaf harry ila nashangaa akitoka William wanafata watoto wake ...why ??
 
Kwa sababu ni damu ya William ambae akiwa mfalme,first born wake atakua crown prince. Kwenye himaya ya kifalme mtoto wa kwanza ana haki zaidi kuliko wa pili. Hivyo mwana wa kwanza akipata mtoto au watoto hao nao wana haki zaidi sababu ya baba yao.

Malkia ana watoto wengi kabla ya William kuzaliwa,mdogo wake Charles alikua wa pili katika kurithi ufalme lakini baada ya William na Harry kuzaliwa jamaa akasogezwa mbali.
Naomba kujua kwanini watoto wa prince William wale watatu wapo karibu na line of succession to throne kuliko price harry??? Maana William na harry ni watoto wa Charles. Nilitegeme akitoka malkia eliza aje charles then William alaf harry ila nashangaa akitoka William wanafata watoto wake ...why ??
 
Mazungumzo zaidi yanahitajika kuhusiana na gharama za usalama wa Harry na Meghan baada ya kuamua kuishi Canada, amesema waziri mkuu Justin Trudeau.
Trudeau ameongeza kuwa gharama ya ulinzi na mipango mengine inahitaji kujadiliwa.
Malkia amekubali kipindi cha mpito ambapo mwanamfalme Harry na mkewe Meghan watakuwa wakiishi Canada na Uingereza.

Amesema kwamba anaunga mkono hatua yao ya kuanza kujitegemea lakini ingekuwa vizuri zaidi iwapo wangeendelea kutekeleza majukumu yao ya kifalme kwa muda kudumu.
Katika taarifa baada ya mazungumzo yaliyofanyika Sandringham, kwenye makazi ya Malkia Norfolk, Jumatatu, uliohusisha wanamfalme waandamizi, Malkia alisema anatarajia kwamba uamuzi wa mwisho utafanyika hivi karibuni.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom