Mwanamfalme wa Saudia amuua mpenzi wake wa kiume UK

Sodoma and Gomora actions, gay gay gay!!! Why not face death penalty! He deserves.
 
Alimuua mtumwa wake wa ngono kwa wivu wa mapenzi, mwache aende jela akapate obidient fuckers.
 
Alafu kuna watu wanasema ushoga uko nchi za magharibi na Afrika!! Kulingana na maandiko matakatifu ushoga ulikuwepo enzi za Ibrahim kule Sodoma na Gomorra na hii nisehemu ya Mashariki ya Kati!!
 
Inasikitisha sana huyo na hicho ni kielelezo tosha cha udhalilishwaji kwa watu weusi hususan katika nchi hiyo inayosifika kwa UISLAM. Matendo wanayoyafanya hawa jamaa wa familia ya kifalme huko Thailand/Pattaya kulikopigwa na Tsunami unaweza ukaomba Mungu ashushe Tsunami ya moto dakika hiyo hiyo
 
Kwani hamuoni mademu walivyo wazuri na wengi mpaka ukalivae balaa hilo? Eeeee Mwenyezi Mungu tuepushe!
 
in arab world these things are happening a lot, the only difference between over there and the rest of the world is media coverage, something like this wouldnt be known if it occured over there na kuna watu wameamua kujiaminisha kua over there watu wote or at least majority kua ni wasafi na hawafanyi dhambi kumbe the only belief they have inatokana n media coverage, kitu kikiwa covered sana na media wao ndio wanatake judgement! nadhan kwa hili ni mda kwa wote wenye mtazamo huo waanze kufikiria tena! maasu mengi au matukio kama haya yanafanyika sana huko uarabuni isipokua ni hayatangazwi tu!
 
Naomba kuuliza wakuu. Hivi huyu Prince Saud ndiye aliyetujengea ile hospitali ya Prince Saud Medical Center pale Tabata Bima?

ningependa swali hili lipate jibu jamani? kumbe hata kule ushoga upo ila tofauti na sehem nyingine ni media coverage tu, kuna dhambi nyingi sana kule hadi watu wanadhan hamnaga!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom