Mwanamapinduzi huru nimeingia rasmi

Curtis De Mi Amor

Senior Member
Jan 9, 2022
134
498
Nimejiunga hapa JF kwaajili ya kutetea haki za binadamu wote na wa aina zote. Tusimame pamoja kuleta mabadiliko chanya yatakayoanzia kwenye hii Forums kisha mpaka mitaani. Asalaam Aleiykum, Bwana Yesu asifiwe, tumsifu Yesu kristo.
 
Back
Top Bottom