Mwanamama mfaransa aula ukuu wa IMF. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamama mfaransa aula ukuu wa IMF.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Jun 29, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mwanamama christine Lagarde aliyekuwa waziri wa fedha wa ufaransa ameteuliwa kuwa mkuu wa shirika la fedha duniani IMF.Hongera kwake Lagarde lakini cha ajabu ni pale niliposikia kutoka BBC kwamba kuna sheria ambayo haiko vitabuni kwamba nchi zinazostahili kuongoza IMF ni zile za bara la ulaya na nchi ya marekani tu,waafrika tutaishia kutazama tu!
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,492
  Trophy Points: 280
  Hongera mama. be strong wasije kukubamiza na wewe.
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  jiulize, ombaomba ukimpa u-wekahazina itakuwaje?
   
Loading...