alberaps
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,568
- 1,002
Pain in AzZ.Huyo ni mjinga kama wajinga wengine ambao badala ya kuwakilisha kero za wananchi wao wanafunga midomo yao kwa makaratasi ya chooni. Hivi kuvaa scaf ya chama cha chadema au kuvaa sare za ccm kunasaidia nini mbele ya Mkutano wa Rais? Je nini msimamo aliouonesha wenye tija kwa Wananchi wa Kigoma? Nini tija kiuchumi, kiiafya, kitekinolojia, kimiundo mbinu hata kijamii kwa ujumla kwa kuvaa tu scaf ya chama tena cha kachadema tu? Heri wana ccm walikuwa na sababu muhimu ikizingatiwa kuwa ccm ni chama Tawala tena chama chenye maamzi kupitia m/kiti wao Taifa ambaye pia ni Rais wa nchi na ambaye siku hiyo alikuwa anakutana na wananchi wake akiwemo na huyu mjinga mjinga ambaye Jpm hakuwa hata na shida ya kuongea naye ila yeye kwa kiherehere chake tu kupitia hako kaudiwani akadhani anacheo kikuuubwa hadi avae scaf hiyo ya SACCOSS .
Sent using Jamii Forums mobile app
sent from my BBC using JamiiForums mobile app