Mwanakondoo katikati ya mbwa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,062
103,260
Mwanakondoo katikati ya mbwa mwitu.
_________
Huyu dogo ni miongoni mwa vijana naowakubali sana. Anaitwa Elia F Michael. Kwanza yupo smart sana upstairs, pili ana misimamo isiyoyumba, tatu alishinda udiwani akiwa mwanafunzi chuo kikuu UDSM.

Juzi wakati JPM alipokuwa Kigoma madiwani walialikwa. Na yeye akahudhuria kama madiwani wengine. Madiwani wa CCM wakavaa sare za vyama vyao na yeye akavaa scaff ya chama chake. Wote wakakaa eneo moja. Ajabu ni kuwa Usalama wa taifa wakamshauri avue hiyo scaff, akagoma.

Polisi wakaja na mabavu yao (si unajua hawatumiagi medula) wakataka kumfukuza aondoke eneo hilo. Akagoma. Mwishowe ikabidi madiwani wenzake kupitia CCM wamuombe aondoke ili asiwaudhi wakubwa. Bado akaendelea kugoma maana hakuona sababu ya kufanya hivyo. Kwanini aondoke? Kwa sababu amevaa sare ya chama chake? Absolutely no. Kama ndivyo basi madiwani wa CCM nao waondoke maana wamevaa sare za chama chao.

Baada ya mkutano kumalizika Mhe.Elia Michael alisema "Nikiwa nimeketi kumsikiliza Magufuli mapema leo Kakonko, usalama wa taifa wamenitaka mara tatu nivue skafu yangu na madiwani wenzangu wa CCM nao wamenisaliti wakanitaka nitoke hapo ila wakasahau kama tuna mwaliko wa kufanana kama madiwani. Dawa ya bishoo ni kuwa bishoo zaidi yake." Hongera dogo. Tunahitaji vijana wenye misimamo isiyoyumbishwa kama wewe. Vijana ambao wako tayari kusimamia imani zao hata mbele ya Rais wa nchi. Vijana ambao as long as wanalosimamia ni sahihi, hawako tayari kubadilika for the sake of President or TISS. Wewe ni SHUJAA.!
By Malisa G
 
Kiki zingine bhana..Eti walimfuata usalama wa Taifa?!! What's the big deal with it? Huu ndio muelekeo wa siasa za vijana siku hizi? Naona siasa zina anza kuchukua ulelekeo wa kibongo flava. Watu wasianze kupakana mafuta kama Ben Pol tu.
 
habari na picha Mkuu ... ingenoga kama pilau na kachumbari

smile and silence
 
Kiki zingine bhana..Eti walimfuata usalama wa Taifa?!! What's the big deal with it? Huu ndio muelekeo wa siasa za vijana siku hizi? Naona siasa zina anza kuchukua ulelekeo wa kibongo flava. Watu wasianze kupakana mafuta kama Ben Pol tu.

Swali hili ilibidi uwaulize usalama wa taifa aache kuangaika na mitandio kibiti inawahitaji
 
Ndyo Nimegundua Mkuu Anafanya Mikutano Ya Chama Na Cyo Kiserikali.Ndyo Mana Anatoa Vijembe Kwa Wapinzani Wake Nawao Hawana Sehemu Yakujibu
 
Mwanakondoo katikati ya mbwa mwitu.
_________
Huyu dogo ni miongoni mwa vijana naowakubali sana. Anaitwa Elia F Michael. Kwanza yupo smart sana upstairs, pili ana misimamo isiyoyumba, tatu alishinda udiwani akiwa mwanafunzi chuo kikuu UDSM.

Juzi wakati JPM alipokuwa Kigoma madiwani walialikwa. Na yeye akahudhuria kama madiwani wengine. Madiwani wa CCM wakavaa sare za vyama vyao na yeye akavaa scaff ya chama chake. Wote wakakaa eneo moja. Ajabu ni kuwa Usalama wa taifa wakamshauri avue hiyo scaff, akagoma.

Polisi wakaja na mabavu yao (si unajua hawatumiagi medula) wakataka kumfukuza aondoke eneo hilo. Akagoma. Mwishowe ikabidi madiwani wenzake kupitia CCM wamuombe aondoke ili asiwaudhi wakubwa. Bado akaendelea kugoma maana hakuona sababu ya kufanya hivyo. Kwanini aondoke? Kwa sababu amevaa sare ya chama chake? Absolutely no. Kama ndivyo basi madiwani wa CCM nao waondoke maana wamevaa sare za chama chao.

Baada ya mkutano kumalizika Mhe.Elia Michael alisema "Nikiwa nimeketi kumsikiliza Magufuli mapema leo Kakonko, usalama wa taifa wamenitaka mara tatu nivue skafu yangu na madiwani wenzangu wa CCM nao wamenisaliti wakanitaka nitoke hapo ila wakasahau kama tuna mwaliko wa kufanana kama madiwani. Dawa ya bishoo ni kuwa bishoo zaidi yake." Hongera dogo. Tunahitaji vijana wenye misimamo isiyoyumbishwa kama wewe. Vijana ambao wako tayari kusimamia imani zao hata mbele ya Rais wa nchi. Vijana ambao as long as wanalosimamia ni sahihi, hawako tayari kubadilika for the sake of President or TISS. Wewe ni SHUJAA.!
By Malisa G
Huyo ni mjinga kama wajinga wengine ambao badala ya kuwakilisha kero za wananchi wao wanafunga midomo yao kwa makaratasi ya chooni. Hivi kuvaa scaf ya chama cha chadema au kuvaa sare za ccm kunasaidia nini mbele ya Mkutano wa Rais? Je nini msimamo aliouonesha wenye tija kwa Wananchi wa Kigoma? Nini tija kiuchumi, kiiafya, kitekinolojia, kimiundo mbinu hata kijamii kwa ujumla kwa kuvaa tu scaf ya chama tena cha kachadema tu? Heri wana ccm walikuwa na sababu muhimu ikizingatiwa kuwa ccm ni chama Tawala tena chama chenye maamzi kupitia m/kiti wao Taifa ambaye pia ni Rais wa nchi na ambaye siku hiyo alikuwa anakutana na wananchi wake akiwemo na huyu mjinga mjinga ambaye Jpm hakuwa hata na shida ya kuongea naye ila yeye kwa kiherehere chake tu kupitia hako kaudiwani akadhani anacheo kikuuubwa hadi avae scaf hiyo ya SACCOSS .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona point zaidi ya bubujiko la omo
 
Huyu mleta uzi naye ni kiazi; hivi kuvaa skafu ya chama chako shingoni kwenye mkutano wa hadhara anaohutubia Rais wa nchi kunawezaje kuwa ushujaa!
 
Kiki zingine bhana..Eti walimfuata usalama wa Taifa?!! What's the big deal with it? Huu ndio muelekeo wa siasa za vijana siku hizi? Naona siasa zina anza kuchukua ulelekeo wa kibongo flava. Watu wasianze kupakana mafuta kama Ben Pol tu.

Sasa hivi hiyo miradi ya maendeleo inafunguliwa kama ni miradi ya ccm. Lei mchana nimemsikiliza rais akiwa Kaliua Tabora kwenye ufunguzi wa mradi. Anawatangazia wanaccm kwamba huu ni wakati wa uchaguzi ndani ya ccm, ametaka watu wengi wachukue form za ccm. Je hapo ilikiwa sehemu sahihi ya yeye kuhimiza habari za uchaguzi wa chama chake?
 
Back
Top Bottom