MwanaKJJ Leo: Namuunga Mkono Tundu Lissu; Serikali Ijitathmini Mkakati Wake

SERIKALI HII HAIOGOPI WALA KUTISHWA NA MTU , HATUTAKI SIASA IINGIE KWENYE TAASISI ZA WATAALAM KAMA TLS, ACHA SERIKALI IPAMBANE NA CHADEMA NA VYAMA VINGINE, HATUTATAKI NA HATUTARAJII ITOKEE MTU ATUMIE TAASISI YA KITAALAM KISIASA, MKIFANYA HIVYO LAZIMA TAASISI HIYO TUIFUTILIE MBALI MAMLAKA YA KUFANYA CHOCHOTE YAPO KISHERIA NA TUNA RIDHAA YA WANANCHI (BUNGE). HATUMWOGOPI LISU TUNAJARIBU KUMZUIA ILI ASIJE ITUMIA VIBAYA TAASISI HIYO. HALA KITU KINGINE KIDOGO HIVI MNAJUA HILO LIJITU LINA MAVYEO MANGAPI? HIVI MBONA ANATAMAA HIVYO?
 
Unajua maana ya serikali wewe? Ndio maana hujui kuandika.

SERIKALI HII HAIOGOPI WALA KUTISHWA NA MTU , HATUTAKI SIASA IINGIE KWENYE TAASISI ZA WATAALAM KAMA TLS, ACHA SERIKALI IPAMBANE NA CHADEMA NA VYAMA VINGINE, HATUTATAKI NA HATUTARAJII ITOKEE MTU ATUMIE TAASISI YA KITAALAM KISIASA, MKIFANYA HIVYO LAZIMA TAASISI HIYO TUIFUTILIE MBALI MAMLAKA YA KUFANYA CHOCHOTE YAPO KISHERIA NA TUNA RIDHAA YA WANANCHI (BUNGE). HATUMWOGOPI LISU TUNAJARIBU KUMZUIA ILI ASIJE ITUMIA VIBAYA TAASISI HIYO. HALA KITU KINGINE KIDOGO HIVI MNAJUA HILO LIJITU LINA MAVYEO MANGAPI? HIVI MBONA ANATAMAA HIVYO?
 
Ukiona hadi Mwanakijiji amezungumza hivyo basi ujue nchi imefikia pabaya.
 
Ndugu Mwanakijiji, Time will tell, you are basing your arguments on what should be viewed from a very clean glasses.

Its true that the Government should never interfere in this free and noble institution, however Lissu is not entering the election with the best of intentions, but his drive is to totally alienate and politically corrupt this noble institution and make it a platform for his protection in fighting the ruling party and government for the benefits of his party.

Even a blind and a deaf man or women can see or hear his intentions.

Brother time will tell
 
Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia
 
Leo hii muhimbili matatizo yameisha? Kwa mtu aliyekaa serikalini kwa miaka 20 alipaswa kujua kuwa Muhimbili inazidiwa uwezo kwa kuwa hospitali za chini hazina uwezo wala vifaa. Huwezi kutatua problem za muhimbili kwa utimilifu bila kushughulikia kwanza hospitali za chini.
Ndio mana Kuna Hospital nyingine ile ya Mloganzira.. Mpya.. Itapunguza tatizo
 
Nadhani wengine mndio mnamatatizo; ni lini nimezungumzia chama changu? au kuongozwa na uchama. Sidhani kama kila mtu anayempinga Magufuli anaongozwa na uchadema kwa mffano..
Hongera sana kumpata rais mpya. natumaini wanasheria wetu watarejea kwenye taaluma yao na kuachana na mikumbo ya kisiasa.
 
SERIKALI HII HAIOGOPI WALA KUTISHWA NA MTU , HATUTAKI SIASA IINGIE KWENYE TAASISI ZA WATAALAM KAMA TLS, ACHA SERIKALI IPAMBANE NA CHADEMA NA VYAMA VINGINE, HATUTATAKI NA HATUTARAJII ITOKEE MTU ATUMIE TAASISI YA KITAALAM KISIASA, MKIFANYA HIVYO LAZIMA TAASISI HIYO TUIFUTILIE MBALI MAMLAKA YA KUFANYA CHOCHOTE YAPO KISHERIA NA TUNA RIDHAA YA WANANCHI (BUNGE). HATUMWOGOPI LISU TUNAJARIBU KUMZUIA ILI ASIJE ITUMIA VIBAYA TAASISI HIYO. HALA KITU KINGINE KIDOGO HIVI MNAJUA HILO LIJITU LINA MAVYEO MANGAPI? HIVI MBONA ANATAMAA HIVYO?
Serikali hii iko paranoid sana kiasi kwamba hata sisi tunaomsupport Magufuli tunaanza kustuka. Iko hivi, kama una access na Magufuli mwambie abadili strategy zake. Alipotwambia tusipofanya kazi twaafa hatukustuka kwa sababu huo ndo ukweli. Alipotwambia atatunyoosha kwa sababu tulikuwa tumepinda hatukustuka kwa saba ndo ukweli. Anapotumbua majipu wengi tu tunamuunga mkono.

Lakini fujo zenye dalili yoyote inayoashiria kuwa awamu hii inataka itawale bila criticism au upinzani wowote hatutazikubali. Na kitendo cha TLS kumchagua Lissu kinatuma message tu kwamba uhuru wa mtu ni sacred. Usitake kututawala hadi fikra zetu, we have the right and freedom to love, kama ambavyo baadhi yetu bado tunampenda Magufuli and we reserve the right and freedom to hate iwapo atakengeuka.
 
Huyu ndiye mwanakijiji wazamani,baada ya nafasi za ukuu wilaya kuisha umeludi upya,lakini ilibaki ya Uyui ambayo IPO wazi mpaka sasa,lakini kwa misumali hii,sahau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom