Mpitagwa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2012
- 2,339
- 1,119
WanaFJ, najua wengi mtanishangaa lakini nadhani huu ndiyo muda mwafaka wa mtu huyu kufahamika. Kwa muda mrefu sasa kama miaka isiyopungua kumi nimekuwa nikisoma makala za huyu mtanzania anayejiita mwanakijiji. Kwa kutumia makala zake inaonekana kwamba huyu bwana ni mjuaji na anaweza akachangia zaidi katika kujenga taifa hilli kama atajitokeza hadharani akafahamika kama walivyo wanahabari wengine. Na humu JF itabidi tuanze kupigiana kura kama big brother kuwa nani sasa anatakiwa agraduate kutumia nick name ajulikane kwa jina lake halisi kama alivyo Kitila Mkumbo. Embu nisaidieni mimi nataka kumuona mwanakijiji. Who is mwanakijiji?