Mwanakijiji ni nani, who is Mwanakijiji?

Status
Not open for further replies.

Mpitagwa

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
2,339
1,119
WanaFJ, najua wengi mtanishangaa lakini nadhani huu ndiyo muda mwafaka wa mtu huyu kufahamika. Kwa muda mrefu sasa kama miaka isiyopungua kumi nimekuwa nikisoma makala za huyu mtanzania anayejiita mwanakijiji. Kwa kutumia makala zake inaonekana kwamba huyu bwana ni mjuaji na anaweza akachangia zaidi katika kujenga taifa hilli kama atajitokeza hadharani akafahamika kama walivyo wanahabari wengine. Na humu JF itabidi tuanze kupigiana kura kama big brother kuwa nani sasa anatakiwa agraduate kutumia nick name ajulikane kwa jina lake halisi kama alivyo Kitila Mkumbo. Embu nisaidieni mimi nataka kumuona mwanakijiji. Who is mwanakijiji?
 
Hapo in red nimepigilia mstari sababu nadhani amekua akichangia kujenga taifa kwa kutumia ujuzi wake tayari. Hiyo njia anayo tumia ndio mchango wenyewe. wewe ulitaka achangie kwa kutumia njia unayo itaka wewe?
 
WanaFJ, najua wengi mtanishangaa lakini nadhani huu ndiyo muda mwafaka wa mtu huyu kufahamika. Kwa muda mrefu sasa kama miaka isiyopungua kumi nimekuwa nikisoma makala za huyu mtanzania anayejiita mwanakijiji. Kwa kutumia makala zake inaonekana kwamba huyu bwana ni mjuaji na anaweza akachangia zaidi katika kujenga taifa hilli kama atajitokeza hadharani akafahamika kama walivyo wanahabari wengine. Na humu JF itabidi tuanze kupigiana kura kama big brother kuwa nani sasa anatakiwa agraduate kutumia nick name ajulikane kwa jina lake halisi kama alivyo Kitila Mkumbo. Embu nisaidieni mimi nataka kumuona mwanakijiji. Who is mwanakijiji?

wewe mbona hujulikani kwa jina halisi walau hata picha na simu yako???
 
WanaFJ, najua wengi mtanishangaa lakini nadhani huu ndiyo muda mwafaka wa mtu huyu kufahamika. Kwa muda mrefu sasa kama miaka isiyopungua kumi nimekuwa nikisoma makala za huyu mtanzania anayejiita mwanakijiji. Kwa kutumia makala zake inaonekana kwamba huyu bwana ni mjuaji na anaweza akachangia zaidi katika kujenga taifa hilli kama atajitokeza hadharani akafahamika kama walivyo wanahabari wengine. Na humu JF itabidi tuanze kupigiana kura kama big brother kuwa nani sasa anatakiwa agraduate kutumia nick name ajulikane kwa jina lake halisi kama alivyo Kitila Mkumbo. Embu nisaidieni mimi nataka kumuona mwanakijiji. Who is mwanakijiji?

Wewe wa wapi? Kwani hujui wanakopatikana? Unadhani aliyeleta idea ya watu kutojionyesha hadharani ni mjinga? Elimika na makala zake tu inatosha. Wanaohitaji kukuona wewe ni wangapi humu? All in all subiri majibu ya wengine nadhani watakupa majibu ya size yako.
 
jaribu kum PM. atakujibu vizuri nadhani. Achia jukwaa liendelee kujiandaa na ujio wa M4C huku Mtwara na Lindi na pia kumsubiri JK arudi kwa obama atwambie misaada inayokuja mwaka huu wa fedha inaambatana na mashoga wangapi
 
Haya we, mi mwenyewe nilipoona ameanza ku-like nilijua atajitambulisha, then ka-like afu kasepa, so hutomjua, we kakojoe ulale.
 
Mie binafsi namkubali sana sana mzee mwanakijiji ni mtu hodari sana wa kuchambua mambo kusema kweli mtu kama mwanakijiji angekuwa mwana chama wa chama cha ukweli CHADEMA ningependa sana na hata kama yuko huko pia nasema hongera sana Kamanda endelee kujenga nchi kwa hoja kwani hii nayo ni kazi kubwa sana ya kuelimisha jamii,big up Mwanakijiji.Ubarikiwe sana tupe mambo humu ndani tuyachambue.
 
Vp Mwanakijiji? Nadhani atakuwa anaishi Marekani....Mwanakijiji pindi upatapo ujumbe wangu NAHITAJI KUOA MTOTO WAKO awe mke wangu. Yule wa kike mkubwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom