Mwanakijiji mbona kimya? Say somethig about mbow and zitto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanakijiji mbona kimya? Say somethig about mbow and zitto

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Zing, Jun 6, 2011.

 1. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Wiki iliyopita demokrasia na mihimili ya sheria ilipita atika vuguvugu fulani.

  Mwanakijiji ni kati ya baadhi ya wa na jf ambao nikisoma mabandiko yao fikra mpya zinapevuka. Nimetafuta na kufukuunyua nijue ana mawazo gani juu ya araeest warrant ya mbowe na kukamatwa kwa ziito. lakini sioni kitu.

  Inawezekana yuko busy but nitapenda nisome maoni na mtazamo wake juu ya hizi saakasi za demokrasia yetu hapa bongo

  Mwanakijiji please write something.........
   
Loading...