Mwanakijiji aibuliwa jambo MICHUZI blog

Status
Not open for further replies.
Siyo siri na sikutaka kusema .Hapa Tanganyika kila kona ya wakubwa kuanzia polisi , nk ukiwa kwenye maeneo yao ukianza kuongea wanakueleza kabisa usije ukawa Agent wa mwanakijiji .Yaani mwanakijiji hapa Tanzania kwa wale wanao vurunda basi wanakutambua mno na wamepelekea jamboforum na KLH kuwa maarufu kila kukicha. Nakueleza Chapa kazi mwanawane hao walevi achana nao. Unaona wanakuja na dailynews forum wanaangauka sasa wanakuja na Majira bado wataanguka bado watu uchwara wa huku mitaani .

Graundini hapa baada ya Zitto ni mwanakijiji hakuna wa kubisha .Sisi kila kukicha yuko kilingeni.

Halafu wewe mtu wa kwa Mnyamani bwana una maandishi ya kizushi sana . hapo London naona baridi imekuzidi sasa inapanda kichwani .Acheni kuleta habari za kizushi kutupotezea muda sisi tule ishu na kumkoma nyani.
 
Punguza mwendo wakati mafisadi wanaongeza? If anything anatakiwa kuongeza mwendo.

nimeipenda hiyo...hahahah apunguzeje mwendo wakati mafisadi wanaongeza??ama kweli yatubidi soote tuongeze mwendo kufukuzana na speed ya mafisadi hawa for the better of our nchi
 
Mwanakijiji/Mzee Mwanakijiji/Majimaji/Mzee wa Gumzo/Mzee wa Mashairi/Mzee wa Hadithi za Mahusiano/Mzee wa.........../Mzee wa.....................

.................and then what!..............sooo what, mzee mwenzangu MKJJ wao wakimwaga mboga wewe mwaga UGALI..............wakimeza wakitema.........shauri yao

Bandugu
soma, pima kwa uwezo wako ..................does the writings of whoever make sense to you?....if not......counter the arguments with facts, kama huna facts zama uzitafute.....uzuri wa hapa JF kama mtu ni mzushi.............hapa JF kuna kila aina ya watu watarekebisha
 
Mwanakijiji juu juu juu zaidi! KLH News juu juu na juu zaidi! Mafisadi boooooooooooooooooooooo
 
Mkjj Hongera sana Mkuu,Ukiona jina lako linatajwa kila mahali ujue "joto la Maandiko yako linawasumbua watu kwenye kaptula zao".Vuta soksi zako juu,na mwaka ujao itakuwa Mapambano makubwa,kati ya Vibaraka wa Mafisadi Vs Mkjj,wapo wengi humu,lakini hawana nguvu,kwani bado wachanga kwenye Fani zote,sio uandishi tu,hata ufukunyuku!!.Kila la Heri Mkuu,wacha tukimbilie Baa angalau tuimalizie siku kwa moja baridi!!!
 
Mkjj Hongera sana Mkuu,Ukiona jina lako linatajwa kila mahali ujue "joto la Maandiko yako linawasumbua watu kwenye kaptula zao".Vuta soksi zako juu,na mwaka ujao itakuwa Mapambano makubwa,kati ya Vibaraka wa Mafisadi Vs Mkjj,wapo wengi humu,lakini hawana nguvu,kwani bado wachanga kwenye Fani zote,sio uandishi tu,hata ufukunyuku!!.Kila la Heri Mkuu,wacha tukimbilie Baa angalau tuimalizie siku kwa moja baridi!!!

Nadhani haya mapambano si kati ya wao na Mwanakijiji. Ni kati ya wao mafisadi na sisi wapenda haki,usawa na fursa kwa wote.
 
Sound to me they r dealing with the beast they dont know...

Hao wanaogopa vivuli vyao tu imefikia sasa kila mwenye msimamo dhidi ya maovu kwao ni "mwanakijiji". Hii inanikumbusha hadithi ya uwepo wa "popobawa" ni kigezo gani utakachotumia kuthibitisha kuwa kuna kiumbe "popobawa" bila kwanza kukubali kuwa kakupitia?

Sasa washamfanya mwanakijiji another "popobawa" (sorry sina maana ile) wanahaha......

The gaffer is there to stay... mwendo mdundo..........
 
Je, kwa nini wana JF msikivamie kijiwe cha Michuzi au Bongo celebrity na kushusha mashuzi hadi wazee huko wajiuize wenyewe kulikoni?...
 
On a light note, kama 'baya' likimpata Mwanakijiji, japo hatuombei hivyo...nahisi Binti senti 50 atalia sana na hakuna wa kumfuta machozi.....amekuwa so concerned na 'usalama' wa Mwanakijiji all along...hope mkuu Mwanakijiji hili unalitambua na kulichukulia kwa 'uzito' unaostahili. LOL
 
Ni mara ya pili tangia nimejue Masatu si kule kwa nje ila hapa kwenye forum to come down na sense zake kamilifu . Taratibu utakuja . Yes ni mapambano kati yao na sisi wa hapa wasema ukweli lakini tunaitwa wasema hovyo na waoga eti tunasemea huku ni wachache wenye access ila wakae wakijua tuna mipango zaidi ya kuwafikia wakulima na joto litazidi we are working hard .

Michizi hawezi kuachia watu wateme cheche kwenye blog yake maana ni mwajiriwa wa serikali sasa anaweza kuvumilia kweli ?
 
Je, kwa nini wana JF msikivamie kijiwe cha Michuzi au Bongo celebrity na kushusha mashuzi hadi wazee huko wajiuize wenyewe kulikoni?...

Kijiwe cha michuzi kiliweka tu kitu kilichotumwa na huyo mtu, hata michuzi mwenyewe alishambuliwa na huyo mtu.
 
viva mwanakijiji, inaonekana watu wa usalama wa taifa wameanza kuingia humu, but this forum will not stop, let them go to hell!
 
Very interesting indeed, this time mkuu kawa na jina la "Buguruni kwa myamani" maana lile la kawaida tutamsitukia, halafu bado anaendelea kuchangia kwenye hii hii mada kwa majina mengine, then kuna wanaokataa kuwa hatufanani na viongozi wetu kina Mama Mongella!,

Anyways, Mkuu MMJ, heshima mbele na mwendo uendelee kuwa ule ule, yaaani wa mdundo, kuna ka-kampeni uchwara kakujaribu kuipunguza nguvu JF, na hii ni moja ya hizo mbinu, ingawa Muungwana, aliwaambia wanaohusika kule Dodoma kwenye NEC, kuwa watuache hapa tuendele na mambo yetu ya taifa,

Ukweli sioni anything serious kwenye maneno yao, nimeyaona so far matatu muhimu,

1. Ni kwamba hawana hoja, kwa hiyo wameamua kuja na viroja.

2. Wanakuogopa, na wameamua kujisema publicly how much they fear you na mawazo yako, maana hawajawahi kuona bin-adam anajua kila ishu muhimu ya maisha na mapungufu yake katika maisha ya Tanzania na wa-Tanzania kwa ujumla.

3. Wanazidi kulikuza jina lako na JF kwa ujumla, maana akili yao ndogo ambayo pia ni ya wanasiasa wengi bongo, wanaamini kuwa kwa kuandika unajifanya unajua kila kitu basi wanakuzima, kumbe sasa kila mwenye aili timamu atakayesoma hiyo kitu, atajaribu kutafuta ujuaji wako ni nini, kwa hiyo watakuja tu JF, na hicho ndio hasa tunachoomba kwa Mungu kila siku, wananchi waongezeke JF na kufunguliwa macho.

Now wakiendelea kwa mwendo huo wa kukupatia wewe na JF free publicity, basi itakuwa ni gain kubwa kwetu JF! Kumkoma nyani mbele na tena mpaka Giladi!

Ahsante Wakuu
 
duh hapo ndipo unanitisha sasa mwana kijiji na huyo aliyeandika mabaya juu yako namuona ana kitu...yan ol dis tym nilikua nasubiria nione utaibuka na jibu gani lakini uko kimya nad ol u do ni kuwapa watu ma thanx tuu!!!!au ndo wataka nipa zile habari za ukiona kobe kainama kimya tujue anatunga sheria???
 
Jambo lenyewe ni kutumia jina lake au? I can not see no jambo lililoibuliwa, labda ndiyo mbinu zinaanza kutumika kutishia watu au kuvuruga watu. Hii thread ya kijing imevutia attention za watu. Tuendelee na ya maana JF.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom