TANZIA MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo

Pole sana Mkuu,

Namshukuru Mungu, wazazi wangu wote bado wapo hai.

Pamoja na wazazi wangu kuwa hai, kuna muda nikitafakari mpango wa Mungu juu ya maisha yangu, I normally ask God why me? Na Sijapata majibu.

Elewa tu you are not alone, watu wengi tunapitia maumivu sema tumegawana vitengo tu.

Muhimu haya maumivu yasitufanye tunung'unike na tukufuru bali iwe chachu kwetu kuendelea kumcha, kumtukuza, kumuinua na kumshukuru Mungu.
Pole sana mdogo wetu Mungu akutie nguvu katika kipindi hichi cha kumpoteza mzazi
Hey dear!!Pole sana kipenzi Mungu ana sababu ya kila jambo,nafahamu utasimama imara ingawa pengo halizibiki lakini utakua imara na utaishi pia
Barikiwa pia Anne
Amen
Akhsante.
 
Back
Top Bottom