mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,855
- 8,253
Mkuu tunakujua na kuona mambo unayoyafanya kwa kuona picha za mambo unayoyafanya ndio maana ukiwa kule mabanda ya SabaSaba huonyeshwa kwenye TV ukiwa mubashara yote hiyo kunogesha mambo,tusingeweza kumjua Trump bila ya picha,kwa mwandishi nguli kama wewe kusema picha haina maana muhimu tukuamini sasa tumeanza kuamini kama ulivyoandika '' after all JF was meant to be home of great thinkers'' kusema majina picha na majina ni mambo ya simple minds si kweliideas peke yake haiwezi kuwa great mind kama inakuwa haina support mkuu na ka tasnia ya uandishi unapoandika kitu unatakiwe uweke picha kuonyesha tukia na jina pia,kwa kifupi inaonekana unaogopa kusema yale uliyotaka tukuamini kwa kuwa uliyemuona ni waziri na sio ajabu huyo waziri ni rafiki yako ndio maana umekuwa muoga kuonyesha picha yake akiwa kwenye sherehe za Wema,halafu unatulazimisha tusiwe Tomaso! na tukuamini kwa kuwa ni Pasco.Kwa wale ambao mnaniamini, naombeni tuu muamini kuwa mwana JF mwenzetu alipendeza na kutokelezea. Msiwe ma Tomaso!, "Heri wanaoamini bila kuona", hivyo nawaombeni sana mniamini, after all jf was meant to be the home of great thinkers, majina na picha ni mambo ya simple minds, great mind ni ideas tuu, hivyo you can just imagine..
P