MwanaJF na kamanda wa CHADEMA akamatwa kwa kosa la kuhoji bilioni200 za IPTL mkutano wa Nape SAUT

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Nov 30, 2013
834
140
Member wa JF na aliekuwa kiongozi wa CDM SAUT NICHOLAUS KILUNGA,jana jioni alipigwa na green guard na baadae kukamatwa na polisi kwa kosa la kumtaka Nape Nnauye azungumzie ufisadi wa bilioni 200 za IPTL,
nimeona status yake kule facebook kwenye kundi la "DK Slaa 2015 VS Lowassa 2015",ikumbukwe kuanzia jana aliweka wazi mikakati ya CCM kuwanunua baadhi ya wanachama wa CDMSAUT hasa rais wa chuo hicho,pia jinsi Nape alivyotoa pesa na hatimaye wakanunuliwa ng'ombe 3 na mbuzi 10,kwa kuwa yeye ni member hapa JF na akitumia jina hilo naamini atapandisha uzi hapa,bt makamanda tuungane kupinga uovu wa CCM

Hii hapa post yake niliyoikopy kwake


"kweli nimeamini maneno ya dr slaa kwamba nchi hii neno haki ni msamiati,baada ya kumtaka nape nnauye azungumzie ufisadi wa bilioni 200 za iptl kupitia account ya escro,mambo yalikuwa si mambo tena baada ya vijana wa green guard kunivamia na kunipiga na kutaka kuninyanganya kamera yangu mbele ya polisi,na badala ya kusaidiwa,nikaishia kukamatwa na polisi,bt mungu ni mwema nimeachiwa huru baada ya kuonekana sina hatia,nawashukuru makamanda wa cdm saut kwa kuzuia gari la polisi kuondoka nami,kwa ujasiri wao wa kuwa nami pembeni wakati wote,namshukuru mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa cdm rwakatale kwa kunitia moyo,makamanda kutoka kigoma kwetu wakiongozwa na bulinjiye na wiston mogha,na wale wote mlionipigia simu,kunitext kunijulia hali juu ya masahibu yaliyonipata na zaidi kunitia moyo,ni wengi sana na siwezi kuwataja wote bt mlpokuwa pembeni ya gari mlikuwa mnanitia nguvu,
story kamili nitaileta hapa kesho
daima nitaendelea kuwatetea wanyonge,nitabakia kuwa mwanchama wa cdm,

"every choice has a concequnce"

picha chini ni matukio mbali mbali katika picha,yakiwemo kunipongeza na kunitia ujasiri baada ya kuachiwa na polisi,picha ya 2 kamanda muta akizuia green guard wasininyang'anye kamera,na nyingine mkuu wa polisi akizongwa na makamanda wa cdm saut wakimshinikiza niachiwe
"

attachment.php
attachment.php
attachment.php

attachment.php
attachment.php




My take hii,ni aibu kubwa sana kwako bwana Nnauye,kuruhusu mtu kupigwa na vijana wako kisa kukutaka wewe uelezee ufisadi wa IPTL?
 
Safi sana hana adabu! Anahoji 200m za IPTL aliambiwa hizo ni za mlipa kodi? Au nizawananchi? Au ni zamsaada! Ulishasema pesa za IPTL, na walikuwa wanasubiri shauri lao mahakamani, hukumu imetoka wamechukua hela zao sasa yeye au chadema kinamuuma nini wamechukua hela zao? Naona kama chadema hawana hoja ya msingi zaidi ya kupoteza energy yao tu.
 
How exactly did Nape respond? what did He say?




look at me, am asking as if I should have expected for Patriotic response for him.
 
Nilisema tangia juzi kwamba huo mchezo anaocheza Nape na CCM SAUT, IT IS A BAD CARD! Lakini kwakuwa Nape na CCM yake ni sikio la kufa they didn't want to listen me. Bado tutashuhudia mengi ya kijinga na kipumbavu, because CCM ni chama dola, siasa haiwezi kamwe kafunya.
 
Aseme Ukweli Video zipo nini alichokifanya hadi maswahibu yakamkuta !!
 
Jana jioni mida ya saa moja na nusu alinitumia sms hii

"Nimeachiwa now,kosa lilikuwa kumtaka katibu mwenezi wa CCM taifa Nape Nnauye azungumzie ufisadi wa bilioni 200 za IPTL,nilikuwa nimeshika kalatasi iliyoandikwa hvo",

Mmmhh!!! Kazi kweli kweli yani hivyo tu wakaanza kumshambulia kweli.......... Nitapenda mwenyewe kwa vile yuko humu aweke Uzi kuhusiana na ilo alafu Mh asibitishe nae kwa vile yuko humu na ile video kijana wake aliorekodi
 
Kuhoji ufisadi katika nchi hii lazima ujiandae kupoteza meno. Ni nchi iliyogeuzwa 'mwembe' wa wenye matumbo.

Nape hujawahi kuwa na staha hata siku moja. Anatumia nguvu kubwa sana kukinusuru chama chake kisizikwe. Sasa sijui anataka watu wabaki na maiti ndani mpaka lini?
 
Haupo peke yako kamanda! Kwakuwa tumechagua upande sahihi acha tuumie kwa kulitetea taifa la wanyonge ili kesho ya watoto na wajukuu zetu iwe yenye usawa ktk kugawana keki ya taifa!
Mapambano yaendelee makamanda mpaka kieleweke...!
 
Safi sana,tena ungeuliwa ningefurahi sana shen.zi zako wewe,walihoji matumizi ya ruzuku CHADEMA mbona mliwaita wasaliti?
 
Nape mwenyewe failure alifata nini kwa hao wasomi siku nyingine mpunguze njaa ya kuwaalika mambumbumbu kwenye events kama hizo. Pole sana kamanda ukombozi unakaribia.
 
Safi sana,tena ungeuliwa ningefurahi sana shen.zi zako wewe,walihoji matumizi ya ruzuku CHADEMA mbona mliwaita wasaliti?

nA UKAE UKIJUA ANGEULIWA DAMU INGEENDELEA KUMWAGIKA MPAKA KWA WAZAZI WAKO WATOTO NA MKEO, KISHA JIULIZE UMUHIMU WA HIZI CHENGA UNAZOONGEA HAPA
 
Nyie ndio wale mnaogombania nani achinje. Tutafika tu na safari siyo mbali 2015.

Safi sana,tena ungeuliwa ningefurahi sana shen.zi zako wewe,walihoji matumizi ya ruzuku CHADEMA mbona mliwaita wasaliti?
 
Back
Top Bottom