TANZIA MwanaJF mwenzetu Ramaa Tech afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

pangakali 2

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
238
220
Habari wana jukwaa. Nasikitika kutangaza kifo cha member mwenzetu kwa jina Ramaa Tech. Kijana aliyekuwa anajishughulisha na mambo ya graphics designing amefarika jana kwa ajali ya pikipiki.

Niliongea nae saa 15:00 saa 18 napata taarifa kuwa amefariki kijana alikua anajituma sana katika shughuli zake hizo. Lakini all in all kazi yake mola haina makosa. Chini ni baadhi ya kazi zake alizowahi kuzifanya wakati wa uhai wake.



Ramaa.jpg
 
Back
Top Bottom