Mwanajeshi Wa Kiingereza Ajibadirisha Kuwa Mwanamke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanajeshi Wa Kiingereza Ajibadirisha Kuwa Mwanamke

Discussion in 'International Forum' started by X-PASTER, Aug 8, 2009.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Aug 8, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  'A year ago I was Ian, 16 stone with 14-inch biceps, a Captain in the Paras. Today I'm Jan, 11 stone and size 12

  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Jan_Hamilton"]By CAPT. JAN HAMILTON[/ame]


  [​IMG]
  A year of painful surgery and Captain
  Ian Hamilton's sex change was complete


  He was an elite soldier in the Paras and had served in every major conflict for the last 20 years - but Capt Ian Hamilton could not go on living as a man. Twelve months on and after painful surgery, the new Capt Hamilton tells HER extraordinary story...

  It's the Airborne creed - "1000, 2000, 3000, check canopy!" - the litany that Paratroopers shout as they hurl themselves into the void, hoping and praying for the crack of the canopy as their parachute opens to bring them to Earth.

  This time, as the chant left my lips, I wasn't jumping into a war zone with the world's finest fighting unit.

  This time, I wasn't a Captain in the Parachute Regiment. This time, I wasn't part of the esprit of Britain's elite warriors.

  I was alone, strapped to a hospital trolley halfway around the world in Thailand, and about to undergo 12 hours of irreversible surgery by a surgeon I had met barely 24 hours before. Surgery that would leave me, in the eyes of the world, a woman.

  From this day on, nobody would ever look at me and see a man. It was the culmination of the hopes and dreams of 42 years of secret longing. I was terrified.

  As Ian, I had endured bullets, bombs and rockets, caused the death of men in combat and seen my own soldiers killed. I had been decorated by my country for serving overseas, endured the toughest selection processes the Army could devise and served in every major conflict of the past 20 years.

  But nothing could have prepared me for the moral courage I've had to call on to make my transition from Captain Ian Hamilton, 16-stone Paratrooper with 14in biceps, to Jan Hamilton, an 11-stone, size-12 woman.

  Just ten months earlier, I had been training troops for operations. The last picture taken of me in uniform is still painful to look at.

  I sent it to a close relative, who surprised me by replying that she felt sorry for me.

  She said: "Your eyes are dead.' She was right.

  I had clawed my way back into uniform following six months of painful rehabilitation after returning, wounded by a roadside bomb, from Afghanistan.

  I had done it all by myself ? the Army didn't care if I got fit again or not.
  Read more...

  *Captain Jan, the transsexual Para, sues the Army for unfair dismissal

  *The week Captain Ian told the Paras he was having a sex change

  My unit did not write to me once during that time. I'm afraid it's the same for any wounded serviceman.

  Whenever you're off the radar, you get left to your own devices.

  But I was forced to undergo endless physical and mental evaluations before they accepted me back. I gave them the answers they wanted to hear: "Yes, sir, good to crack on...Ready for anything, sir."

  [​IMG]

  Read more: Dailymail CAPT. JAN HAMILTON

  [​IMG]  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=R0KSHjSnnSE"]CAPT. JAN HAMILTON[/ame]
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  MAAJABU YA DUNIA!...Vioja kama hivi vya kuingia gharama kubwa kujibadili maumbile nimeviona zaidi kwa wanaume..ni kwanini wanaume wengi wanataka kujibadili kuwa wanawake kuliko wanawake wanavyotamani kujibadili kuwa wanaume?...
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hauja sikia yule dume aliyezaa? Ali jibadilisha kuwa mwanaume lakini aka bakisha viungo vyake vya kike. Wapo wanawake wengi sana wanao jibadilisha kuwa wanaume. Na pia nadhani ni rahisi zaidi kwa mwanaume kuji badilisha kuwa mwanamke kuliko vice versa japo ni ukichaa tu.
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Aug 8, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Na wanawake wenye kufanza ufisadi huo wapo wengi tu...!

  Unakumbuka kesi ya Pregnant Man...! Jama ukimuona amebadirika na anaonekana kama Mwanamume, ila wameshindwa kubadirisha mji wa mimba tha's why ameweza kushika mimba.


  [​IMG][​IMG]
   
 5. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  the joys of a liberal state. never let ur body control you...NEVER!
  But i have always wondered, is this a sin? Kama soul/roho yako haina umbile, basi ukiamua kubadilisha umbile la mwili wako ni kosa?
   
 6. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Dunia Tambalabovu!
   
 7. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Kweli mwanaume huyu alikuwa na kichaa fulani - fikiria maumivu ya operations zote alizopitia kupata hiyo sura ya mrembo!
  1.Nywele kuvunwa na kupandikizwa upya kutoka kichogoni hadi utosini . Pamoja na kuwekewa dawa ya kupunguza maumivu, procedure hii huwa inauma sana na huwezi kumaliza zoezi hili kwa session moja au mbili.Inabidi kurudia mara kadhaa.)
  2.Kukata paji la uso kwa msumeno ili punguza hicho kilichotokeza! Kisha kushikiza kwa bolts!Jamani.... hili nalo ni zoezi la aina yake!
  3.Kuchokonoa mifupa ya macho hadi isawazike - siwezi kupima maumivu hayo yanavyokuwa maana baada ya operations hiyo uso huumuka kama umetiwa hamira na huwezi kuona kwa siku kama siyo majuma kadhaa!
  5. Pua kuvunjwa na kuumbwa upya - nadhani tunaelewa ni jinsi gani yule mwanamuziki maarufu MJ alivyoishia kuwa na pua inayomong'onyoka yenyewe....
  6.Midomo kukatwa na kushonewa upya ili kuipunguza na kuifanya iwe na mvuto!
  Jamani hapo si chini ya operation kubwa 10 ili kuipata sura ya mdada wa picha ya kulia.Hapo bado hatujaelezwa hormones therapy alizopitia, bado hatujaambiwa operations za breasts implants, hatujaambiwa kuhusu operations za nyeti alizofanyiwa n.k.
  Ama kweli kuna watu wenye matatizo zaidi ya ukichaa wa aina fulani! Operations yeyote inaweza kupelekea kupoteza maisha kwa maana kuna complications kadhaa zinazotokana na upasuaji - blood clots kwenye mfumo wa damu au thrombosis, kupatwa na heart attack na mengine mengi.Sasa fikiria mtu anajiweka kwenye risks hizi zaidi ya mara kumi kisa ni awe mwanamke mrembo wakati Mungu alimuumba dume!

  HAPO BADO HATUJAANGALIA KIWANGO KIKUBWA CHA PESA ALICHOTUMIA.
  Hebu tuangalie kidogo bei ya hizi operations:
  Operation ya hair transplantation peke yake huweza kufikia hadi dollar kutegemeana na aina ya transplantation.Nyingine zote ziko kwenye $-5000 na kuendelea kutegemeana na wapi unafanyia.
   
 8. L

  Ledwin JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2009
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 227
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapana,this is not normal,hata hao wanaofanya hizo operation sio normal.
   
 9. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
 10. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mkulu,

  Huo muda bado siku ya wajinga haijafika na wenzetu wako serious sana ukiandika uongo wakati muda haujafika unshitakiwa, kwahiyo nafikiri hii sio sherehe ya siku ya wajinga.

  Even if ingekuwa hivyo bado wapo hawa watu na ni wengi kwani wanakuwa na pesa amabazo hafikirii hafanyie nini badala ya kutafiuta umaarufu kwa njia kama hiyo
   
 11. B

  Bull JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2009
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lakini bado anaonekana anampenda Yesu (shingoni)
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wewe ulitaka ampende pedofile aliyeko Jehanam?
   
 13. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Astaghafirullah!!!
   
 14. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2009
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na hicho kikoromeo kimejitokeza 'C' cha huyo mwanaumme kilikatwa au kiliwekwa ndogo yake? may be ni siku ya wajinga.iliandikwa usiku wa manane.
   
 15. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #15
  Aug 8, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
 16. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Naona pesa aliyotumia ndo imekuudhi zaidi. At least sio ya ufisadi (public monies), ni pesa yake. Katika liberal states, mtu uko huru katika utumiaji wa pesa yako kwa mapenzi yako, isipokuwa katika kuua mwenzio.
   
 17. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2009
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Wanaojibadili na wanaowabadilisha wote wanapinga kazi ya Mungu.

  Kazi ya Mola haina makosa!
   
 18. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,463
  Likes Received: 1,396
  Trophy Points: 280
  mungu wasamehe hao watu
   
 19. F

  Fernandes Rodri JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2009
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 407
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  waarabu wanasema AL JUNUUN FUNNUUN, yaani wendawazimu uko mafungu mengi,unaweza ukamuona mtu anawasha sigara na mikono yake isiungue, au mtu akavuka barabara asigogwe na gari ukadhani mzima,kumbe ni aljunnun funuun
   
 20. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  ina maana huyu msoja alikuwa analiwa ndogo alipokuwa vitani akaona bora aiweke orijino.....
   
Loading...