Mwanajeshi wa Kenya akilia kutokana na jinsi hali ilivyo nchini humo


ngebo

ngebo

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017
Messages
885
Likes
666
Points
180
ngebo

ngebo

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2017
885 666 180
6b1e83c2bdb41022dd7b40f33655a0cd.jpg


Ndio hali ilivyo inasikitisha,

Picha na brian inganga (Kenya)
 
Sammuel999

Sammuel999

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Messages
3,498
Likes
2,309
Points
280
Sammuel999

Sammuel999

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2016
3,498 2,309 280
First of all huyo ni Polisi

Jeshi Haiko popote kwa issue za kisiasa nchini!!
 
Synthesizer

Synthesizer

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2010
Messages
5,948
Likes
5,894
Points
280
Synthesizer

Synthesizer

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2010
5,948 5,894 280
Ndio hali ilivyo inasikitisha,

Picha na brian inganga (Kenya)
Mkuu huyo askari yuko kwenye kuwapiga mabomu wananchi siku ya uchaguzi, kwa kuvuruga uchaguzi, na kazidiwa na mabomu ya machozi waliyotupa wao wenyewe. Na inaonekana hapo ni Kibira kwenye ngome kuu ya NASA askari walikopiga sana mabomu. Askari wa Kenya alie kwa ajili ya uchaguzi? I say hilo likitokea basi sintashangaa Raisi Magufuli akimsifia Tundu Lissu kwa uzalendo!
 
ngebo

ngebo

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017
Messages
885
Likes
666
Points
180
ngebo

ngebo

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2017
885 666 180
Mkuu huyo askari yuko kwenye kuwapiga mabomu waandamanaji, na kazidiwa na mabomu ya machozi waliyotupa wao wenyewe. Na inaonekana hapo ni Kibira kwenye ngome kuu ya NASA askari walikopiga sana mabomu. Askari wa Kenya alie kwa ajili ya uchaguzi? I say hilo likitokea basi sintashangaa Raisi Magufuli akimsifia Tundu Lissu kwa uzalendo!
Angalia alivyofumba macho kwa hisia kali, hiyo sio kwaajili ya bomu
 
likandambwasada

likandambwasada

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Messages
5,461
Likes
5,850
Points
280
likandambwasada

likandambwasada

JF-Expert Member
Joined May 27, 2015
5,461 5,850 280
3rd man JWTZ NI JESHI IMARA, MWULIZE IDDI AMIN, M23 NA TAKATAKA ZINGNE. JWTZ WAMEFANYA KAZ KUBWA YA KULINDA ULIMWENGU, HATA HAPO MKIVURUGANA TUTAKUJA KUWALINDA
 
M

Matonya Mazengo

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Messages
237
Likes
134
Points
60
M

Matonya Mazengo

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2017
237 134 60
3rd man JWTZ NI JESHI IMARA, MWULIZE IDDI AMIN, M23 NA TAKATAKA ZINGNE. JWTZ WAMEFANYA KAZ KUBWA YA KULINDA ULIMWENGU, HATA HAPO MKIVURUGANA TUTAKUJA KUWALINDA
KWELI KWELI KABISA NI JESHI LENYE NIDHAMU YA HALI YA JUU SANA, NA WENYE UZALENDO HASWA.
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
11,983
Likes
9,957
Points
280
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
11,983 9,957 280
Hahaha! Mkuu, umewahi kupigwa bomu la machozi? Utatamani ufunge macho usiyafungue tena! Huyo askari kaonja utamu wa mabomu ya machozi.
Umenikumbusha mbali, yamewahi kunikuta kipindi nimejitokeza barabarani najiita mkombozi na kuimba nyimbo za ukombozi....weee asikuambie mtu.
Kwanza mabomu yanapigwa mnapoteana halafu macho huoni vizuri unalia ghafla unapofumbua unajikuta umezingirwa na FFU wenye virungu, ndio utakoma yaani utatamani huyo Raila au Uhuru aingilie kati lakini ndio basi tena.

343E3A0E00000578-3593243-image-a-42_1463416988498.jpg
 
ngebo

ngebo

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017
Messages
885
Likes
666
Points
180
ngebo

ngebo

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2017
885 666 180
Umenikumbusha mbali, yamewahi kunikuta kipindi nimejitokeza barabarani najiita mkombozi na kuimba nyimbo za ukombozi....weee asikuambie mtu.
Kwanza mabomu yanapigwa mnapoteana halafu macho huoni vizuri unalia ghafla unapofumbua unajikuta umezingirwa na FFU wenye virungu, ndio utakoma yaani utatamani huyo Raila au Uhuru aingilie kati lakini ndio basi tena.

343E3A0E00000578-3593243-image-a-42_1463416988498.jpg
unawachangia tu ukamate mmoja umshikishe adabu ata wakikuzidi nguvu utajua ushatia adabu mmoja
 
kenstar

kenstar

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Messages
2,304
Likes
1,398
Points
280
kenstar

kenstar

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2015
2,304 1,398 280
Utakuwa ni utamu wa Bomu analisikilizia kwa pozi,
 
Bitter pill

Bitter pill

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2017
Messages
923
Likes
769
Points
180
Bitter pill

Bitter pill

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2017
923 769 180
Kazi kulialia tu kama wanawake,tunawambia wakenya kila, askari wao ni dhaifu,wanatubishia.
 

Forum statistics

Threads 1,235,422
Members 474,534
Posts 29,221,465