Mwanajeshi Rashid Mohamed akamatwa na mirungi kilo 20 huko Tanga

Kuna rafiki yangu bodaboda kuna siku alikuwa ananipa stori kwamba kuna wanajeshi flani rafiki zake huwa anawachukuwa kuwapeleka milimani huko kuchukua magunia ya bangi kupeleka maeneo ya maramba.
 
Safi hiyo ndio vita sasa mnamkamata mtu na vithibitisho.

shetani pekee ndo atapinga hapo,

sio unakurupuka unaokota karatasi la hovyo hovyo hujui inawewezaka mtu alisafishia uchafu halafu unaandika majina
 
Hahahah nilikua naipeleka kituoni!! Nimewakimbiza katka pulukushani wakaiacha
 
Back
Top Bottom