TWIZAMALLYA
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 397
- 81
Au ndo hasira za kukosa ubingwa?
Huyo labda mpiganaji wa magwanda kaleta za kuleta.
wanajeshi kinachowapaisha ni ushirikiano wao tu, ila akiwa peke yake unaweza ukapita nae. NB: Usije ukajichanganya kwa komandoo
Mh kisheria sijui kama inaruhusiwa kumpiga raia sema kwa vile watz hatujui sheria kama ni akitafuta wanasheria wanaweza msaidia hakuna aliye juu ya sheria lakini kwa tz hilo linawezekana .
Ndugu mtoa mada, tafadhari kabla ya kurusha issue fuatilia kwanza kiundani mkuu,
Issue ni hivi huyuu jamaa kasimamishwa akasimama vizuri ila akawa anaulizwa maswali ya usalama barabarani kama vile leseni, na mengine akajifanya anapotezewa muda yy ni mwanajeshi na police wakaomba kwanza kitambulisho hakuwa nacho, wakamuuliza mambo ya jeshi mf, kikosi gani hajui anatatanika..
Zaidi sana kumbe mdogo,mtt kama si lafiki wa mwanajeshi.ndipo akatumia nafasi hiyo kukiuka sheria ya nchi.
Ila kiukweli hakuna watu wanaheshimiana kama wanajeshi na Police maana mama na Baba yao mmoja..
Mleta mada omba msamaha jamii kwa uchonganishi, yule alikuwa Raia anayetumia jina la jeshi kukiuka sheria..

Hata mimi nimefurahi wacha wamkomeshe c wanajifanya wapo juu ya sheria hao