MWANAJESHI akutwa ameukata UUME wake..

mashoba

Senior Member
May 8, 2014
145
42
Mwanajeshi mmoja amekutwa maeneo ya Tip top,katika Gesti inayoitwa NAMBUA GUEST HOUSE,akiwa amezirai baada ya kuukata uume wake na kuutupa pembeni.Inasemekana jana alikua akiwapigia ndugu zake simu huku akisema NAJIUA,MAISHA HUKU DAR MAGUMU.Baada ya ndugu kuja walimuwahisha hospitali.Mwanajeshi huyo alizinduka wakat anapelekwa kwenye gari ili waende hospitali,lakin kwa kuweweseka alikua akitamka maneno "Haya sasa nawaachia hiyo k*m* mui t*m*e....Inahuzunisha sana...
 
Sasa si ameamua?kwahiyo unataka ushauri uende ukamshauri au umetupa hii habari tushangae?..,loading error...
 
Pepo la mauti lilikuwa linamwandama huyo si bure, kwani maisha yakiwa magumu solution ni kujiua? Yesu aturehemu kwakweli.
 
pole zake, huwezi jua nini kilimpata hadi kufikia uamuzi huo..

ni kweli lakini hekima ya mtu huonekana wakati wa tatizo, alichofanya atakijutia maisha yake yote, hasira hasara na majuto ni mjukuu
 
dahhh..pole yake amejitahili ukubwani tena vibaya hasa....hivi madaktal wana weza kuiunga na ikafanya kazi tena au ndo nitokee hiyo moja kwa zote mpaka kifo anabaki na kipisi..???
 
Back
Top Bottom