MwanajamiiOne, Lizzy,Pretta, Kipipi, Neiwa, Badili Tabia, Queenkami, Ruta, GT nk

Queen, mtoto laini, mnene wastani! Unahipsi na kifua kizuri. Tatizo lako unaringa sana na kuwabadili wanaume! Lol! Mana unataka wa hadhi ya juu kweli, ha ha ha
 
1b9f63
Ronn M . . .
hehehe. . .mwanamke mguu. Na ukiwa nao shurti uuonyeshe.

Hayo ya mume achana nayo, kuna mtu huku anajipanga anipe mahari yangu, asije akabadili mawazo.

mzee wa njaa . . . kwani uzee ni kifo? Bado tunatesa.
Hapo mtoa mada kakupatia asilia mia!
 
Last edited by a moderator:
Lizzy, nifundishe kutag sijui, or whatever that you do and a person finds mentioned in the post, kunat watu nawataka hapa
 
Queen, mtoto laini, mnene wastani! Unahipsi na kifua kizuri. Tatizo lako unaringa sana na kuwabadili wanaume! Lol! Mana unataka wa hadhi ya juu kweli, ha ha ha

Kwa vile nimetabasamu niliposoma hizo sifa za mwanzo inanibidi tu niendelee kutabasamu hata hapo pekundu japo roho inauma LOL.
 
Very interesting mtabiri! Mwagamwaga, tuambie na wakaka wengine. Ila Ruts katendwa na wadada kila siku lawama...
 
Lizzy, nifundishe kutag sijui, or whatever that you do and a person finds mentioned in the post, kunat watu nawataka hapa

Ronn M mie tangu wameweka hiyo option sijatumia PC mode hivyo sijawahi kitag. Ila nadhani ukienda kwenye edit post/wakati unaanzisha thread chini kutakuwa na sehemu ya kuwaandika wale unaotaka kuwatag.

Ngoja nimuulize Invi kwa uhakika zaidi.
 
Thanks, nataka zaidi hiyo ya kummention mtu. Hata mimi natumia simu mara nyingi
 
kijukuu cha sharifu

Ha ha! Chezea mbegu ya sheikh, mama wa Tanga, babu mfipa na bibi wa baga? Bibi yangu ndo kamtengeneza mkulu mpaka sasa anasimama otherwise . . . Unabishe nikutumie nyota mbaya? Lol
 
Back
Top Bottom