MwanajamiiOne, Lizzy,Pretta, Kipipi, Neiwa, Badili Tabia, Queenkami, Ruta, GT nk

mi nataka nijue russian rouserete thijui na erotica bwana mganganjaa

Huyu atakuwa wa ukweli sana, atakuwa ni mrefu na ananywele ndefu! Kifua chake kimejaa, loh, anawasumbuaje mijibaba ofisini?
 
Ronn M, umenichekesha sana ila sasa hujasema weza kupredict wote, hebu tuambie afrodenzi na wengine vipi?
 
Last edited by a moderator:
Note: Don't take this personal! Just for funny, u know. . . .They say great thinker don't discuss people right? Hope I'm discussing characters qualities and attributes. . . . . .

Mwanajamiione

Huyu anaonekana anampenda sana mumewe, lakini mara nyingi amekuwa disappointed na either mumewe or other men. Ni mama wa watoto wawili (au zaidi) na inaelekea ametokea mikoa ya nyanda za juu kusini!

Pretta

Huyu kwa sura ni mweupe, anamtoto mmoja na inaelekea anampenda sana! Bado yeye na mumewe wanafurahia ndoa yao na hawana mikwaruzano ya mara kwa mara! Anapenda mapambo na mara nyingi huiweka nyumba yake hasa kitanda katika hali ya usafi. Anapendelea mashuka ya blue bahari na nyeupe! Ama kwa upande wa nguo za ndani, hapendi sana chupi nyeusi ingawa anazo skinitaiti chache nyeusi!

Lizzy

Inawezekana ni mchaga pengine wa machame! Kama hajasomea engineering basi economic/management courses! Anakipato kikubwa kuliko mumewe na anaamini wakati wote mumewe anaweza kucheat. Anapenda kujipodoa kiasi na mara nyingi kwa kutumia perfume nzuri na za gharama. Anapenda sana kuvaa viatu vya juu na sketi fupi!

Kipipi

Huyu bado hajaolewa, ila anapenda wanaume waliojazia kama wale tunaowaona kwenye american movies! Amesoma cozi inayoweza kumpa kazi ya markerting manager au public relations officer! Wakati mwingine wanaume wamemchanganya maana naye si haba, huwa anaruhusu mmoja mmoja wa pembeni, loh anapenda kawaine kweli hasa red!

Kongosho& BT

Hawa tabia zao zinafanana, wote wameolewa na wana watoto. Wote wameajiriwa na wanamishahara mizuri. Wote wamewahi kutendwa na waume/wapenzi wao. Wote wanadhani wanaume sio waaminifu! Wote wanamiliki magari. lol

Ruta

Huyu mwanaume mwenzangu nisemsemee sana, lakini loh, anapenda kweli mambo yale, haipiti wiki lazima aangushe mtu

GT

Huyu nae kitabia hawatofautiani sana na Ruta, ila huyu anapenda vimodo zaidi. . . . .


loh, just thinking, how do u think, please dont take it personal
Mkuu hapo kwa Rutta hujapatia mbona ni mtu anayependa watu walekebishe tabia kama ulivyosema, tena anayo hofu ya Mungu, anachulia wezi na wadhulumati wa mali za nchi yetu?????
Hawa watu umekutana nao wapi, we ni mtabiri wa nyota kama marehemu Sheik Yahaya Husein nini????
 
Ronn M . . .
hehehe. . .mwanamke mguu. Na ukiwa nao shurti uuonyeshe.

Hayo ya mume achana nayo, kuna mtu huku anajipanga anipe mahari yangu, asije akabadili mawazo.

mzee wa njaa . . . kwani uzee ni kifo? Bado tunatesa.
 
Last edited by a moderator:
Ronn M, umenichekesha sana ila sasa hujasema weza kupredict wote, hebu tuambie afrodenzi na wengine vipi?

Wewe mamito kwanza upo over 30 yrs. Hivyo watoto unao wawili au zaidi. Unapendelea kuvaa vitenge na sketi ndefu. Mumeo mnene ana kakitambi, lol! Inawezekana unaendesha suzuki swift au vitz! Ha ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
Dah Ronn M nimeipenda sana...ngoja nikuletee mmoja unisaidie kuniambia alivyo....
Nakuja muda si mrefu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapo kwa Rutta hujapatia mbona ni mtu anayependa watu walekebishe tabia kama ulivyosema, tena anayo hofu ya Mungu, anachulia wezi na wadhulumati wa mali za nchi yetu?????
Hawa watu umekutana nao wapi, we ni mtabiri wa nyota kama marehemu Sheik Yahaya Husein nini????

Mtumishi wetu we mlokole? Sijamwonea jamani kwa hawezikuwa anamwangusha wake kila wiki, wanaojua kutag wanielekezi nimtag aje aseme hapa! Ila nawe unapenda sana kwaya mpaka mpenzio wamsahau!
 
mmmhhhhhhh interesting....:ranger:

Afrodenzi na AshaDii (kama wote wanawake) wanafanana tabia. Wote si wembamba, mmoja ana watoto wawili mwingne watatu, kama ni wanawake wa kiislamu wanavaa hijabu, wote wanapenda ugali matembele! Enh?
 
Back
Top Bottom