MwanajamiiOne, Lizzy,Pretta, Kipipi, Neiwa, Badili Tabia, Queenkami, Ruta, GT nk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MwanajamiiOne, Lizzy,Pretta, Kipipi, Neiwa, Badili Tabia, Queenkami, Ruta, GT nk

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ronn M, May 30, 2012.

 1. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Note: Don't take this personal! Just for funny, u know. . . .They say great thinker don't discuss people right? Hope I'm discussing characters qualities and attributes. . . . . .

  Mwanajamiione

  Huyu anaonekana anampenda sana mumewe, lakini mara nyingi amekuwa disappointed na either mumewe or other men. Ni mama wa watoto wawili (au zaidi) na inaelekea ametokea mikoa ya nyanda za juu kusini!

  Pretta

  Huyu kwa sura ni mweupe, anamtoto mmoja na inaelekea anampenda sana! Bado yeye na mumewe wanafurahia ndoa yao na hawana mikwaruzano ya mara kwa mara! Anapenda mapambo na mara nyingi huiweka nyumba yake hasa kitanda katika hali ya usafi. Anapendelea mashuka ya blue bahari na nyeupe! Ama kwa upande wa nguo za ndani, hapendi sana chupi nyeusi ingawa anazo skinitaiti chache nyeusi!

  Lizzy

  Inawezekana ni mchaga pengine wa machame! Kama hajasomea engineering basi economic/management courses! Anakipato kikubwa kuliko mumewe na anaamini wakati wote mumewe anaweza kucheat. Anapenda kujipodoa kiasi na mara nyingi kwa kutumia perfume nzuri na za gharama. Anapenda sana kuvaa viatu vya juu na sketi fupi!

  Kipipi

  Huyu bado hajaolewa, ila anapenda wanaume waliojazia kama wale tunaowaona kwenye american movies! Amesoma cozi inayoweza kumpa kazi ya markerting manager au public relations officer! Wakati mwingine wanaume wamemchanganya maana naye si haba, huwa anaruhusu mmoja mmoja wa pembeni, loh anapenda kawaine kweli hasa red!

  Kongosho& BT

  Hawa tabia zao zinafanana, wote wameolewa na wana watoto. Wote wameajiriwa na wanamishahara mizuri. Wote wamewahi kutendwa na waume/wapenzi wao. Wote wanadhani wanaume sio waaminifu! Wote wanamiliki magari. lol

  Ruta

  Huyu mwanaume mwenzangu nisemsemee sana, lakini loh, anapenda kweli mambo yale, haipiti wiki lazima aangushe mtu

  GT

  Huyu nae kitabia hawatofautiani sana na Ruta, ila huyu anapenda vimodo zaidi. . . . .

  Updates

  gfsonwin Huyu sasa ni mama wa nyumbani. Kwakweli anajiheshimu sana na anawapenda wanae ingawa

  wenyewe wakorofi sana. Sema tatizo lake ni mkali mno yaani watoto wanamwogopa na imefikia wakati mpaka mumewe

  anamwogopa!

  charminglady Ah yaani wewe unataka kutuambia upo charming? Kweli meno yako na vidimpo vinafurahisha

  unapocheka, ila mbona unapenda sana kumnunia jamaa hasa anaposhindwa kukutoa out kutokana na majukumu? Halafu punguza

  kuangalia movies upate muda wa kutosha wa mawasiliano mazuri na Mr

  Bishanga Si tunamjua tena ndugu yetu huyu kwa kujikubali? Ngoja awe sehemu ya starehe halafu warembo

  type ya Lizzy na pretta wasogee, mbona atasafisha wallet? Afu utamsikia kachukua

  galaxy lake 'Hivi mbona Vog yangu mnaichelewesha bandarini? Kwani Mercedes yangu tayari mlisha clear'? Loh, ila ni mwaminifu na

  anapenda kweli!

  Erickb52 Huyu anapenda sana vimodel! Sasa wanashindwana matumizi, si kwamba hana hela ila hataki sana

  kutumia kwa hawa wa nje! Anampenda sana bibie ile ndo hivyo macho nayo hayatulii


  loh, just thinking, how do u think, please dont take it personal
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  He he he he, mmesikia jamani.
  Nina mshahara mzuri na gari nnalo, mnaorukia vifodi mtajibeba.
   
 3. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ruta umemuonea kwani wewe inaweza kupita week bila kuagushwa/kuangusha kama una wako?
   
 4. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Ila sasa hiyo inakupa mtazamo wa 'kushit any man that tries to play around'. . . its a kind of 'utanifanyanini wewe'

  attitude! lol, msinishangae today im kind of happy
   
 5. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,087
  Likes Received: 10,440
  Trophy Points: 280
  Kongosho we ni wa Arusha ehhh...( vifodi)
   
 6. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wewe mganga wa jadi kutoka sumbawanga(joks)niambie kuhusu wife wangu MadameB nionekama kazi ya manyaunyau unaiweza
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  ha ha....umepatia 82%....ulipokosea ni hapo kwenye skintayte.....huwa sivai kabisa coz zinaniwasha.....na hapo kwenye weupe....mimi kwetu hasa ni Sudan ya kusini.....
   
 8. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Sawa mrithi wa sheikh Yahya...message sent
   
 9. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Angekukandia ungesema MoD funga uzi huu tehe tehe tehe natania Kongosho bana.
   
 10. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Daaah napata picha ya kapua kakisomali na urefu wa kisomali kisha kibindankoi hicho haaaaaah, sema PM zinagoma ningekuPM ili mashambulizi yaanze tehe tehe tehe.
   
 11. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 834
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60
  ........Na wewe...?
   
 12. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Sijamsikia WoS siku nyingi kidogo,hivi yupo kweli au tunapishana humu humu kwenye threads.
   
 13. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sudani ya kusini? U cant be serious! I ve been at Juba 3 times!
   
 14. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Thats y i ve said don take it personal. Its not an attack. Ila nawe (kama mdada) unahuruma!
   
 15. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha, afu we unapenda movie za Ray wewe!
   
 16. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,087
  Likes Received: 10,440
  Trophy Points: 280
  Mkuu wacha hiyo mambo zile pipo za Sudan Kusini ni NYEUSI ile mbaya yan full masinzi.
   
 17. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #17
  May 30, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Proved! Mtu wa Arusha huyo. Kwa hadhi yake atakuwa anakaa Njiro/Kijenge/kwa mrefu
   
 18. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #18
  May 30, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Erotica japo siyo mnene ila kawowo kajaaliwa kwa mbali! Ila miguu sasa! Lv u Ero! Lizzy na Pretta wanashape kweli
   
 19. cmoney

  cmoney JF-Expert Member

  #19
  May 30, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  mi nataka nijue russian rouserete thijui na erotica bwana mganganjaa
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  May 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Ronn M, kuringa suna, wanamme ukiwaendekeza wanakupasua kifua.Arachuga woyee, nakaa Akeri.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...