MwanaJamiiForums Tumaini Makene, afunga ndoa na Susanne Maselle

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Hii Ilikuwa ni Wedding Dinner, ilifanyika usiku wa Novemba 30, mwaka huu, hapa hapa Dar es Salaam. Maharusi ni Tumaini Makene na Susanne Maselle, Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA


Will always thank God for this one of the greatest days between, Susanne Maselle and Tumaini Makene . May The Almighty God bless.

Thanks to everyone who has been part of this and helped the lovely dream come true.


Watu unaowajua almost wote walikuwepo... from Chairperson Freeman Mbowe, Wajumbe wa CC na Mawaziri Wakuu Wastaafu Mzee Edward Lowassa na Frederick Sumaye, Manaibu KM wa CHADEMA John John Mnyika na Salum Mwalim, Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, from all sides CHADEMA, CUF na CCM...kwa hiyo UKAWA ulikuwa live hapo pia. Wapiganaji wote wa CHADEMA unaowajua kwa maana ya wakurugenzi, maofisa, walinzi, madereva walikuwepo... KM alikuwa safarini nje ya nchi kikazi.

Picha hiyo inaelezea...wazee wakiwa na Ba Mkwe. Now my father akiwa pamoja na Ma mkwe.
7c3d81afaa271d67f4654f9de469e05a.jpg
 
Back
Top Bottom