Mwanaidi Sinare Maajar - Balozi Mpya Marekani

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Kuna reshuffle ya mabalozi. Balozi Mwanaidi Maajar kuhamishiwa Washington, Kuchukua nafasi ya Balozi Sefue.

More to come
 
Mama alipendezea sana Uingereza na amekijenga chama kwa njia ya mashina katika viunga vya UK.
 
Hongera mama Mwanaid Maajar!!! Ni mtu safi kwa utendaji!!!
 
Kwa wale wanaojua government workings aliyefungua hii thread hata kama ilikuwa ni kwa nia njema basi ajue kalikoroga,Serikali huwa hazipendi mtu kuzi jumpstart.Wadau mnakumbuka yaliyomkuta Balozi Juma Mwapachu enzi za Mzee Mkapa baada ya gazeti la Rai kudokeza uteuzi wake?
 
Mama Mwanaidi ukifika Marekani Wasalime akina Mwanakijiji na Watanzania wote waliopo huko hata wale wenye kutaka uraia wa nchi mbili wote wasalimie pia.Kila la kheri Mama Majaar
 
Mama alipendezea sana Uingereza na amekijenga chama kwa njia ya mashina katika viunga vya UK.
Kwa hiyo kazi yake kubwa ilikuwa ni kusimamia Chama ama Serikali?.Je Uk alikuwa anawawakilisha wana CCM au Watanzania wote bila kujali chama?.Je hakuna wanaupinzani Uk waliohitaji huduma yake?.Basi kama alikuwa akisimamia chama basi hafai kuwa Balozi.

Nawakilisha
 
Kwa wale wanaojua government workings aliyefungua hii thread hata kama ilikuwa ni kwa nia njema basi ajue kalikoroga,Serikali huwa hazipendi mtu kuzi jumpstart.Wadau mnakumbuka yaliyomkuta Balozi Juma Mwapachu enzi za Mzee Mkapa baada ya gazeti la Rai kudokeza uteuzi wake?

nadahani hizi tactic zimepitwa ; sasa ni zama za uwazi ingefaa hata hayo majina yawe yanaletwa kwa wananchi au hata bungeni watu wathibitishe; mie nazipinga sana post za kupeana kwani nyinginezo zimetukwaza Watanzania; sasa kwa Balozi Maajar kama anastahili kwanini tusimpigie chapuo?

Hongera Mama Maajar maana mpaka sasa watuwanasifia utendaji wako!
 
Mama alipendezea sana Uingereza na amekijenga chama kwa njia ya mashina katika viunga vya UK.

Umependeza nini kwani wewe upendezi. Walahi hii nchi italiwa na Mafisad kwani hakuna wengine wakuchukua Madaraka mpaka awe yeye tu?
 
Kwa wale wanaojua government workings aliyefungua hii thread hata kama ilikuwa ni kwa nia njema basi ajue kalikoroga,Serikali huwa hazipendi mtu kuzi jumpstart.Wadau mnakumbuka yaliyomkuta Balozi Juma Mwapachu enzi za Mzee Mkapa baada ya gazeti la Rai kudokeza uteuzi wake?

Pengine hiyo ndiyo nia ya aliyefungua hii thread - inaitwa preemptive attack!
 
-Ila kiitifaki kama bado hajateuliwa serikali inaweza kubadilisha huo uteuzi endapo itajulikana imeshavuja huku
 
Huyo balozi kafanya nini zaidi ya kusimamia chama cha ccm nchini humo? kama ni balozi mjanja si angemshauri raisi wenu kuwa tunahitaji equal partnership kati ya marekani na tanzania ?au angeiomba serikali ya marekani ikishirikiana na ya tanzania kuanzisha viwanda mbalimbali ili tuweze kuzalisha na export nchini humo?na ili tuachane na fikra za ku export wanafunzi tukifikiri kuwa GDP yetu itaongezaka kwa kufanya hivyo.
 
Mkuu Currently yeye ni ambassador wa Tanzania UK
 
Ni kweli Tangu awe Balozi huko UK,.matawi ya CCM yamefunguliwa mengi.
Ni playing ground kwa vigogo!Naona Balozi wa Tanzania UK si kwa manufaa ya taifa ,ni balozi kwa CCM .
 
Let us wait and see. Mwanakijiji et al haya natumaini mnajiandaa na kapati ka kumkaribisha mama this spring.
 
Hongera sana mama! Binafsi nakukubali sana...umeboresha mshikamano na mahusiano na UK!
 
I second it. Masa pole sana na kipigo cha Mancin and the boyz. sisi tunafukuza mwizi kimya kimya. Back to business, JK kulikoni na hayo mabadiliko?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom