Mwanahistoria mzayuni:Hadi miaka 30 ijayo Israel itakua imeshatoweka

Hao Wayahudi hata huyo Yesu hawatambui nashangaa wakiristo aka Waroma wanavyojipendekeza wakati hao Wayahudi wanaona Waafrika kama masokwe tuu, wana ubaguzi wa hali ya juu sana kwa ngozi nyeusi
Halafu wanaita taifa teule, hata huyo Mungu wao aliyewafanya wateule atakuwa na matatizo.
wanaua watoto na wanawake wasio na hatia kisa aridhi, ushoga ndio makao makuu yake hapo Jerusalem ndio maana hawaongezeki,
Angalu hao Waarabu hata ugaidi wao unasababishwa na hao hao mataifa ya magharibi,
Ila kwa ufupi hizi dini ni pasua kichwa kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa tatizo la wabongo akili za kuambiwa za kusomea ni ngumu kuchanganya na zake' hizi ni akili za darasani tena darasa la chini kabisa na hauja jisomea kwa muda mrefu .eti taifa ture ra mungu. wewewe. Africa wamelishwa sumu mbaya sana.hata ukiwapenda vipi hao wayahudi wenu na waarabu wenu.hawatawapenda ng'oo! sana mtabezwa tu. eti Dini yachukiwa hivi unajua White jesus wiill never come back? mtasubili sana Yesu wa kweli akija hamtamjua make mtategemea mzungu yesu sijui ni muarabu yaani hata aeleweki.
 
Hiyo ni ndoto tu ktk nadharia. Kwa mujibu wa unabii, Israel ipo hapo mpaka mwisho wa dahari labda kama mtu anatumia kitabu kingine kisicho cha kinabii make vitabu viko vingi tu.

Hakuna cha ardhi ya wapalestina hiyo ardhi ni ya waisrael toka enzi na enzi na walipewa na Mungu kwa mujibu wa biblia. Na hata akina Ibrahim, Isaka, Yakobo, Yusufu, Daudi nk, woote walizikwa kwenye ardhi hiyo hiyo. Sasa leo hii mtu atasemaje eti ardhi ni yake. Pure Lunacy.

Hao wapalestina, ambao ndio akina Goliath, walikuwa wakiishi Gaza toka zama hizo huku wakiabudu miungu na ndio maana Mungu aliwalaani, hawawezi wakatwaa ardhi isiyo yao. That will never ever materialise.
Embu muwe mnasoma maandiko kwanza kabla ya kuingiza mahaba ya kidini

1. Nchi ya Ahadi ''kibiblia'' alipewa Abraham na inaanzia mto Nile mpaka mto euphrates huko Iraq je ni kwanini Israel kama inataka kweli mipaka ya Canaan isiende kuivamia Misri kuichukua Nile au iende kuiteka Iraq why imeganda hapo Palestina?? Huoni wanatumia kma kichaka cha kujustify uvamizi wao??

2. Israel kibiblia ilikuwa inarudishwa kwenye nchi yao ya ahadi na manabii wa Mungu.... Je ni nabii gani aliwarudisha wayahudi hapo Palestina?? Hvi kweli vyama vya siri na wanasiasa wenye maslahi binafsi kuwapeleka wayahudi pale ili kuunda taifa kibaraka mashariki ya kati ndio unalihusianisha na Mungu?? Ina maana leo wayahudi wakiletwa na Trump hapa Bongo mtasema Mungu ndio kawaleta??

3. Palestina ndio kina goliath?? Goliath alitokana na kizazi cha Caphtor aliyekuwa bloodline ya Mizraim mwana wa Ham na alitokea ugiriki hivyo hakuna connection yoyote kati ya wafilisti na wapalestina hao ni watu wawili tofauti.

4. Mkuu unaposema hiyo ardhi ni yao milele unatumia basis gani..... Hvi tuwe realistic tu leo hii wakikuyu waje wadai Tanzania waliishi mababu zao hivyo sisi tupishe maana walipewa na ''mungu'' wao je wewe utakubali?? Nmekuuliza hapo juu waliahidiwa Nile mpaka syria je kwanni wasiidai hiyo wameganda na Palestina??

Amka mkuu kama hufahamu agenda iliyopo pale basi pole sana endelea kuwashabikia hao wasaliti wa messiah wako
 
Taifa lipo kwenye unabii.Mungu amewaambia mkiishika torat yangu mtastawi daima,ila mkikengeuka tu cha moto mtakiona.Hao waarabu ni fimbo ya MUNGU kwa waisrael wanapoasi.Soma kumbukumbu la torat sura yote ya 28.

Sent using Jamii Forums mobile app
Embu nitajie ni kabila gani kati ya watoto wa Yakobi lipo pale Israel ya leo..... Nitajie kabila moja tu maana mnaongea bila hata kujiridhisha.

Israel ilioanzishwa na wazungu wa uingereza ndio mnadai ni unabii wa kimungu?? Hivi mnalishwa nini huko makanisani
 
Huo ni ujinga umekaririshwa kuwa kuna Taifa lipo kwa sababu linalindwa ma mataifa mengine??huo ni upuuzi wa kuaminiwa na wapuuzi wenzao!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Acha mahaba ya kidini ww anachosema huyo mkuu ni kweli kabisa..... Israel inalindwa sana na marekani ndio maana mpaka leo ipo na ndio maana kabla ya marekani kuisupport mbona wayahudi waliteswa sana tokea enzi za rumi mpaka hitler?? Ina maana hiyo miaka yote Mungu hakuwa nao mpaka leo ndio muwaone hawapigiki kisa taifa la mungu?? Yaani taifa waanzishe wapagani wa uingereza alafu mzigo mumtupie mungu!! Kazi kwelikweli
 
Kasome vizuri Historia acha kulishwa matango ya madrassa
Zaidi ya Mataifa kuyapigia makubwa kumpigia VETO ya kuhasisiwa pale akiwemo Soviet nani alietoa msaada pale zaidi wengi wapiganaji walikuwa partisan wa vita ya pili ya dunia nchini Ulaya na walijua Guerilla war zipo vipi na kutumia mazingira kupambana

na Mungu aliwasiaidia kupambana na mataifa matano mchezo maana kipigo kile waarab hawawezi sahau abadan

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni kumdhalilisha Mungu.... Mbona Hitler aliwatandika jeshi la wayahudi kule Poland kama kuku askari zaidi ya 80,000.... Achilia mbali wanavyodai walichinjwa million 6!! Au una maana wakati wa Hitler Mungu aliwaacha ila six day war Mungu ndio akawa nao?? Wafia dini bhana
 
Embu muwe mnasoma maandiko kwanza kabla ya kuingiza mahaba ya kidini

1. Nchi ya Ahadi ''kibiblia'' alipewa Abraham na inaanzia mto Nile mpaka mto euphrates huko Iraq je ni kwanini Israel kama inataka kweli mipaka ya Canaan isiende kuivamia Misri kuichukua Nile au iende kuiteka Iraq why imeganda hapo Palestina?? Huoni wanatumia kma kichaka cha kujustify uvamizi wao??

2. Israel kibiblia ilikuwa inarudishwa kwenye nchi yao ya ahadi na manabii wa Mungu.... Je ni nabii gani aliwarudisha wayahudi hapo Palestina?? Hvi kweli vyama vya siri na wanasiasa wenye maslahi binafsi kuwapeleka wayahudi pale ili kuunda taifa kibaraka mashariki ya kati ndio unalihusianisha na Mungu?? Ina maana leo wayahudi wakiletwa na Trump hapa Bongo mtasema Mungu ndio kawaleta??

3. Palestina ndio kina goliath?? Goliath alitokana na kizazi cha Caphtor aliyekuwa bloodline ya Mizraim mwana wa Ham na alitokea ugiriki hivyo hakuna connection yoyote kati ya wafilisti na wapalestina hao ni watu wawili tofauti.

4. Mkuu unaposema hiyo ardhi ni yao milele unatumia basis gani..... Hvi tuwe realistic tu leo hii wakikuyu waje wadai Tanzania waliishi mababu zao hivyo sisi tupishe maana walipewa na ''mungu'' wao je wewe utakubali?? Nmekuuliza hapo juu waliahidiwa Nile mpaka syria je kwanni wasiidai hiyo wameganda na Palestina??

Amka mkuu kama hufahamu agenda iliyopo pale basi pole sana endelea kuwashabikia hao wasaliti wa messiah wako
Wewe unaandika kwa mujibu wa imani ya dini yako ambayo, definitely, inaamini kuwa ardhi ni ya wapelestina. Sasa ku-argue na mtu ambaye yuko chini ya imani kali ya dini ni kazi kwani hawezi kukubali reasoning ktk argument.

Sisi kwa mujibu wa biblia tunaelewa hiyo ardhi ni ya waisrael na hata babu zao wote walizikwa hapo. Huko nyuma hakuna siku hao Wapalestina waliwahi kumiliki eneo ambayo leo inaitwa Israel. Mwanzo 15:18-21; Mwanzo 26:3; Mwanzo 28:13. The land belongs to the Israelis and that's all.
 
Jibu swali Biblia inasema kwenye kutoka 23:21 kuwa nchi ya ahadi inaanzia Misri mpaka Iraq sasa basi kwanini Israel imeganda hapo palestina pekee if at all hio ndio hoja yao?? Kwanini wasiende huko Iraq pia wakadai ardhi yao..... Nachotaka hapa ujifunze kwamba hio ni propaganda tu wanatumia ila wapo pale kimkakati maana wako njiapanda ya mabara 3 na Canal ya suez ambayo ni muhimu sana kuunganisha ulaya na Asia na ndio maana hawadai Mto nile kuwa ni Israel wala Iraq maana wameona hazitokuwa na faida kama wanazopata hapo Tel Aviv ila wafia dini mmekaririshwa tu hata mambo madogo kuhoji mnashindwa!!

Swali jingine nimekuuliza Leo akija Muhindu akasema Krishna amempa Ardhi ya Tanzania utakubali?? Sasa kwanini waisrael watumie kitabu chao cha dini kudai ardhi kwa watu ambao hawakitambui hicho kitabu.... Does it make sense??

Pia nimekuuliza Kama hoja yako ni ardhi za Biblia kuna mataifa mengi tu yalikuwa allocated ardhi na Mungu kwenye table of nations na kitabu cha Jubilees cha hao wayahudi kinaelezea kwa ndani kabisa sasa mbona sijawahi sikia mkiwaambia Ethiopia waidai oman au UAE ambazo kibiblia ndio walipewa wao..... Mbona sijasikia ukiwapigania makabila kama Mizraim (misri ya sasa), put (Libya) n.k ambao ardhi waliokuwa allocated hawaishi hii leo?? Kwanini mnaililia Israel pekee..... Ina maana hao Misri wakidai kwa mujibu wa Biblia na lebanon nao wakidai patakalika kweli??

3. Unadai wapalestina haikuwahi kuwa nchi yao..... Hivi hoja ni kwamba hawakuwahi kuishi au hoja ni kwamba WAMEPORWA NCHI!!.... Ndio maana nimekupa changamoto unitajie kabila moja tu kati ya wale 12 wa yakobo ambao wako Israel alafu ndio tuendelee na mjadala

4. Hao Israel baada ya makabila 10 kupotea kabisa duniani masalia wao walipewa hifadhi mataifa ya ulaya ardhi kubwa na fursa za kiuchumi kwa miaka zaidi ya 2000 mbona leo hii wanalipa mema waliofanyiwa kwa ubaya?? Hivi na wao wangekuwa treated kama wapalestina wangejiskiaje?? Kwani kuwaachia Palestina nchi yao na wao wakabaki na kimkoa walichopangiwa shida ikwapi.

Alafu wafia dini wengi nadhani hamjui chanzo cha mgogoro wao walishapewa Ardhi israel ilagawanywa pasu kwa pasu...... Cha kushangaza leo hii wamewatimua Wapalestina maeneo yao hadi wamebaki na miji miwili tu west bank na gaza hii ndio inapigiwa kelele ila kama wangeheshimu mipaka ya mwanzoni kabisa ya 55-45 hakuna mtu angelalamika maana amani ingekuwepo sasa nyie wafia dini badala ya kujifunza historia mnakuja tu na mistari ya Biblia ilihali hao wayahudi waliletwa pale na wapagani wa kiingereza ambao hata Biblia hawaitambui

Tuna safari ndefu sana
 
Back
Top Bottom