Mwanaharakati nova kambota ndani ya mlimani television saa mbili na nusu usiku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaharakati nova kambota ndani ya mlimani television saa mbili na nusu usiku

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kipanga mlakuku, Jul 18, 2011.

 1. k

  kipanga mlakuku Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haya sasa wadau leo kuanzia saa mbili na nusu usiku kijana wenu mwanaharakati Nova Kambota atatema cheche kuanzia saa mbili usiku mlimani tv, usikose kumwangalia leo itakuwa hapatoshi naona huyo anawasili hapa sasa hivi huyo huyo anakuja anaingia studio sasa hivi namwona kajiandaa kwelikweli , nitaendelea kuwajulisha kila hatua kutoka studio za mlimani tv
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Who the heck is him? Why should I spend my time infront of the TV set to watch him?
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  na yeye ni mwanaharakati?? toba!!
   
 4. k

  kiwalanikwagude Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  uwwiiiiii wow na kikombe changu cha kahawa tayari kabisa niko mbele ya screen siwezi kumkosa huyo ni Dr slaa wa miaka ijayooooooooo!
   
Loading...