Mwanaharakati Mutemi Kiama aachiwa kwa dhamana, aagizwa kutosema chochote kuhusu mikopo ya Kenya

Ikaria

Member
Jul 17, 2019
71
195
Mwanaharakati Edwin Mutemi Kiama ameachiwa huru kwa dhamana ya Ksh 500,000 pesa taslim'

Kesi yake itasikilizwa tena Aprili 20.
Mahakama imeagiza asiseme chochote kwenye mitandao ya kijamii kabla ya tarehe hiyo.

Edwin anakabiliwa na kesi ya kumfedhehesha Rais kwa kutengeneza bango mitandaoni likionya Shirika la IMF na mataifa ya ughaibuni dhidi ya kumkopesha Rais Kenyatta fedha, akisema vizazi vijavyo havitakubali kubeba kero la ulipaji madeni ya Kenyatta.

images.jpeg

A Nairobi court has released Activist Edwin Kiama on Sh500,000 cash bail, and a surety of a similar amount.

Kiama is required to report to the Investigating Officer, Patrick Kibowen, at a place of their choice for the next 10 days, while observing Covid-19 protocols.

In a ruling on Thursday, Senior Resident Magistrate Jane Kamau said that the State failed to give compelling reasons to keep detaining Kiama.

Further, the magistrate ordered the activist not to share any messages or images on Kenya’s foreign loans or President Uhuru Kenyatta over the 10 days.

Kiama was on Tuesday arrested at his Nairobi home over a poster of President Uhuru Kenyatta widely circulated online, and presented in court yesterday to face charges.

In his affidavit, Kibowen said that Kiama committed cybercrime-related offences on different occasions between April 5 and 6, 2021 by way of publication on social media using his Twitter handle.
 
deep state wamekasirika! where is freedom of speech?

CC: Tony254
 
But what does the new katiba say!!!?
 
Back
Top Bottom