kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,341
- 12,045
Wafuasi wa Lissu akili zao sawa na za ng'ombe tuUmeshindwa kujizuia chuki zako kwa Lissu, Lissu alisema Tz inapaswa kujifunza Kenya lakini alisema pamoja na matatizo makubwa Kenya waliyonayo. Hivyo hakuwasafisha 100%.
Hapa hawapo kabisa, wamehamia mtaa wa pili...wakirudi matusi utakayoyapata utashangaa na roho yako.
Vp mshampata mwanaharakati wenu....Tanzania hata wanaharakati hamna.
wafuasi wa upande ule je
Hujaenda mbali kimawazo:Chuki iko wapi?
Sasa si ni ukweli alisema?
Kunukuu Jambo alosema mtu ni chuki?
Huyo mwanaharakati atakuwa ametoweka Tanzania kwenye nchi mbovu sio Kenya ambako Tanzania yapaswa kujifunza kutoka kwake!...Una hoja nyingine?
Usiniwekee maneno mdomoni tafadhali...nasisitiza nukuu tu mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee!!!Hujaenda mbali kimawazo:
Kenya ni nchi yenye matatizo iliyozoeleka duniani tangu enzi hizo
Kwa sasa imebadili mwelekeo na kuwa nchi ya demokrasia kuliko jirani yake Tanzania
Tanzania inabadilika kutoka kuea kisiwa cha amani na kuwavnchi ya kikatili, mauaji na ukandamizaji wa haki za binadamu
Hata kama Kenya kutakuwa na mauaji ya hapa na pale chavmuhimu ni kuwa yamepungua wakati Tanzania yansongezeka
Kenya si ndio tundu anasema kuko na demokrasia ya hali ya juu Sana kwa Africa?
Wanakosaje uvumilivu kwa mwanaharakati tena mwanamke?
Itakuwa umekosea huyo mwanaharakati atakuwa ametoweka "Tanzania nchi iliyokosa demokrasia na haiheshimu haki za binadamu na inaongozwa na Rais wa ajabu kupata kutokea duniani".mwisho wa kunukuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya kwa mambo haya ni normal kabisa.. Mungu asaidie apatikane akiwa hai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nalo kweli Tz wajifunze tu. Sawa kabisaUmeshindwa kujizuia chuki zako kwa Lissu, Lissu alisema Tz inapaswa kujifunza Kenya lakini alisema pamoja na matatizo makubwa Kenya waliyonayo. Hivyo hakuwasafisha 100%.